Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Nashindwa kujua hii hype ya SSC kuitoa TZ kimasomaso kimataifa sijui inakuwa supported na tangible object gani? Itabidi one day niende Msimbazi nikapige chabo kwenye trophy cabinet ya SSC kujua kuna rekodi ya vikombe vingapi imewahi kuchukua kwenye continental level. Hiyo ndiyo record pekee ambayo ukienda Cairo (CAF hq) unaweza kuipata na kusema..yes SSC ni kiboko. Siyo kuishia kuwafunga Zamalek, etc tuSimba pekee ndio wenye historia ya kuitoa Tanzania kimasomaso kwenye michuano ya kimataifa
Wakuu hebu tujadili hawa jamaa wa Redio One na ITV wamekuwa wakijifanya mara kwa mara kususa kutangaza habari ya chama letu. Akili zao ndogo sana kwa kususa. Hivi kwa kufanya hivyo wanamkomoa nani? Simba? au wapenzi wa michezo? au hawajui kuwa wanapoteza wasililizaji na watazamaji wa vyombo vyao vya habari?
"Wachovu" Yanga? 22 times TZ champs vs Simba's 16? Are u serious? Come on, get yourself down to earth and raise your hands to this awesome Yanga's record!!Mimi nasubiri kuona kama hawatotangaza habari ya mechi ya chama letu na wachovu yanga.
Eeeeeh kidedea...Jamani Ubingwa kesho huoooooooooooooo, mimi nasafiri kutoka mkoani kuja kusherehekea
Wata-tangaza kama wachovu wao watashida.....kitu ambacho ni ndoto za mchana!!!!Mimi nasubiri kuona kama hawatotangaza habari ya mechi ya chama letu na wachovu yanga.
"Wachovu" Yanga? 22 times TZ champs vs Simba's 16? Are u serious? Come on, get yourself down to earth and raise your hands to this awesome Yanga's record!!
Uzushi!! siyo mara 22!! Yanga wametwaa ubingwa wa TZ mara 17 (1968, 1969, 1970, 1971, 1974, 1981, 1983, 1987, 1991, 1996, 1997, 2000, 2003, 2005, 2006, 2008, 2009).
Simba mara 16 (1965 na 1966 - wakati tukiwa Sunderland TZ na 1972, 1973, 1976, 1977, 1978, 1979, 1980, 1993, 1994, 1995, 2001, 2002, 2004).
"Wachovu" Yanga? 22 times TZ champs vs Simba's 16? Are u serious? Come on, get yourself down to earth and raise your hands to this awesome Yanga's record!!