Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Jamani hii mambo kama ni kweli basi itakuwa ahueni kubwa sana
 
umetumwa au?hatukuelewi,naona wewe sio simba utakuwa mbwa mwitu unless uclarify

Achana na Pengo nilishamshtukia tangu Mwanzo na Umamluki wake! Alikuwa anasubiria Pye pye pyeeee 1-1 aanze kunya Pumba katika Jukwaa letu tukufu la Simba Sports Club spesho Sredi
 
Matambo hapa kwa raha zangu natafuta vichenji vya pints kadhaa wakati nachekya arsenal game club. Hii imeniapa raha wacha niende kwenye presha sasa
 
Wadau wanasema yale magoli mawili ya mwisho ni ya kwenye video kabisaa...kama vile unawatch mechi ya ManUtd na Arsenal afu zinapigwa goli standard na (rooney) pasipo mashaka...Nadhani hiyo mechi ya Simba Na Yanga itabidi TFF walete kombe uwanjani kuwapa watu raha mana watakuwa tayari mabingwa kupitia mgongo wa AZAM Juice!!
 
Haya magoli inabidi tuytafute video zake mazee
 
Tutafurahi sana tukipenda video zake
 
wanaume wamefanya kweli leo.Mafande walitukamie lakini tumewadhibiti.Azam watatupatia pwenti 3 maana viögozi wao na wetu tunaelewana vizuri na kanda2 akilala kesho dhidi ya Azam siye tutatangazwa machampioni.Yanga itabidi wapange line kutupongeza siku tutapocheza.mwaka huu tumejipanga vizuri na usajili ulikuwa wa hali ya juu.big up to the entire club
 
Natamani kuliona goli lililofungwa na Uhuru Seleman...
 
wanaume wamefanya kweli leo.Mafande walitukamie lakini tumewadhibiti.Azam watatupatia pwenti 3 maana viögozi wao na wetu tunaelewana vizuri na kanda2 akilala kesho dhidi ya Azam siye tutatangazwa machampioni.Yanga itabidi wapange line kutupongeza siku tutapocheza.mwaka huu tumejipanga vizuri na usajili ulikuwa wa hali ya juu.big up to the entire club

Tutashinda kwa sabau tunauweza mpira sana so sababu ya viongozi kujuana bana, kama ndo hivyo si tungeshinda ya African Lyon?
 
Chama Kubwa SIMBA, ahhh mwaka huu ubingwa ni wetu Kanda2 wao watakuwa washindi wa pili.
 
jamani wadau wote kaeni mkao wa kula leo kwani wapinzani wetu wakitoa droo au wakifungwa leo basi tunakuwa machampioniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

so wadau mlioko dar leo jaeni uwanja wa uhuru wapeni sapoti azam na wazomeen yanga,kwani ubingwa waweza kuwa leo
raha ilioje jamani?
 
maisha raha sana kama simba wanashinda, na nina imani mwaka huu watatuo kimasomaso hata mechi za kimataifa...
Naombea sana simba tumchukue abdulhalim msimu ujao tumalize mambo kabisaaa CAF
 
Ndege ya uchumi!

dah hiyo avatar yako inanisisimua kweli utafikiri fataki katika sherehe ya kushangilia ushindi wa Simba!!

Simba ni Bingwa mtake msitake!

Inshalah Mungu akijalia Nitakuwepo Uwanjani Siku Mnyama akikabidhiwa Ndoo! Huwa Natumia Macho yangu kuwamulika na kuwapa Mchecheto Kandambili aka KAGODA FC
 
Inshalah Mungu akijalia Nitakuwepo Uwanjani Siku Mnyama akikabidhiwa Ndoo! Huwa Natumia Macho yangu kuwamulika na kuwapa Mchecheto Kandambili aka KAGODA FC

Kye kye kye!

Ndege ya uchumi!

Haya mkuu,tafadhali zidi kutumulika vizuri huku nasi tuone miguu ya Simba ikitandaza soka safi angalau tushangilie vizuri kwenye mabenchi yetu ya kikwetu mkuu!

Tupo pamoja,kula tano mzee!
 
Back
Top Bottom