Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umetumwa au?hatukuelewi,naona wewe sio simba utakuwa mbwa mwitu unless uclarify
Natamani kuliona goli lililofungwa na Uhuru Seleman...
wanaume wamefanya kweli leo.Mafande walitukamie lakini tumewadhibiti.Azam watatupatia pwenti 3 maana viögozi wao na wetu tunaelewana vizuri na kanda2 akilala kesho dhidi ya Azam siye tutatangazwa machampioni.Yanga itabidi wapange line kutupongeza siku tutapocheza.mwaka huu tumejipanga vizuri na usajili ulikuwa wa hali ya juu.big up to the entire club
Tujiandae na CAF Champions League
Ndege ya uchumi!
dah hiyo avatar yako inanisisimua kweli utafikiri fataki katika sherehe ya kushangilia ushindi wa Simba!!
Simba ni Bingwa mtake msitake!
Inshalah Mungu akijalia Nitakuwepo Uwanjani Siku Mnyama akikabidhiwa Ndoo! Huwa Natumia Macho yangu kuwamulika na kuwapa Mchecheto Kandambili aka KAGODA FC