Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
Simba leo wanaonekana kuwa dhaifu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu thanks kwa updates ..ngoja tucheki kipindi cha pilli tenahalf Time now 1-1 jamaa walichomoa mfungaji wa lunyasi ni banka
Nimeipend Avatar yako mazee!Simba 1-0 JKT
Asante mkuu.Nimeipend Avatar yako mazee!
Hata iweje hao JKT ni wetu tuu,kuwafunga ni lazima kama vile kifoDakika 18 Mussa Mgosi anakosa penalt.
Usijali mkuu mambo yataiva muda si mrefu hao JKT lazima waende Kibla!Mussa hassan Mgosi anakosa penalt dah mbona balaaaa hapa
Mkuu hapa kuna hatari ya kutoka suluhu ,kwa mchezo huu sio rahisi inabidi wachezaji wakaze msuli.Ushindi utapatikana tu...tuzidi kuomba dua
Mkuu hapa kuna hatari ya kutoka suluhu ,kwa mchezo huu sio rahisi inabidi wachezaji wakaze msuli.
Acha hofu kama mbwai na iwe mbwai lazima tushinde tuu,kwani hizi point 3 ni muhimu mno kuliko kucheza na wana kandambiliMkuu hapa kuna hatari ya kutoka suluhu ,kwa mchezo huu sio rahisi inabidi wachezaji wakaze msuli.
Mussa hassan Mgosi anakosa penalt dah mbona balaaaa hapa
Acha hofu kama mbwai na iwe mbwai lazima tushinde tuu,kwani hizi point 3 ni muhimu mno kuliko kucheza na wana kandambili
Matokeo vipi? Hivi tumebakiza na nani tena? out of yebo