Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Dakika ya 91 now, bado draw tukitoka hapa na Azam FC
 
Kweli kabisa mechi ya leo ni MUHIMU SANAAAAA hawa JKT sijui wamepewa pesa na wadau wa Yanga ili wakazeeee

tusiwasingizie yanga jamani viwango navyo leo feki sijui walikunywa banana kabla ya mechi
 
mbona tumeanza vizuri leo mechi kati ya simba na jkt...sioni mechi imekwishaa matokeo kadhaa tuwe waungwana
 
uhuru suleiman kaingia kafanya mabadiliko
kashiriki bao la pili la mgosi kisha kapiga bao kali latatu
mpira umekwisha bado point mbili tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
uhuru suleiman kaingia kafanya mabadiliko
kashiriki bao la pili la mgosi kisha kapiga bao kali latatu
mpira umekwisha bado point mbili tuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Matambo kumbuka Robot aka Invisible ni Mnyama so utani kama huu unaweza pelekea Life Ban shauri yako
 
uhuru suleiman kaingia kafanya mabadiliko
kashiriki bao la pili la mgosi kisha kapiga bao kali latatu
mpira umekwisha bado point mbili tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Aminia wakuu in God we Trust.Mungu yuko pamoja nasi wakuu
 
pole yao wale waliokuwa wakisubiri mkono uanguke
mnyama ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaa

sasa ngoja nikaaangalie ugonjwa wangu wa moyo aka arsenal see you then wanamsimbazi wote
 
uhuru suleiman kaingia kafanya mabadiliko
kashiriki bao la pili la mgosi kisha kapiga bao kali latatu
mpira umekwisha bado point mbili tuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Oyaaa acheni masihara, watu hatuna amani kabisa hapa. Hebu tupeni kitu chenye uhakika. Inakuwaje dk ya 91 draw halafu ghafla matatu?
Leteni data zenye ukweli bwana ili watu turudi kuendelea na kazi. maana hapa mzuka umepanda kazi haziendi wala nini??!!
 
japo nilitamani kuchezea shilingi kwa kutaka ubingwa tuuchukue tarehe 1-04-2010 kwenye uwanja wetu wa taifa dhidi ya mahasimu wetu wasio na hela ya kumlipa kocha wao-young africans
ila natumaini TFF siku hiyo wataleta kombe uwanjani,baada ya mechi nico nyagawa aliinue kombe
 
Una maana gani Mkuu? Come on Matambo
 
Kama nilivyosema milioni 80 tumezitumia vizuri,JKT walikuwa wanazuga wajinga tuu,mambo murua
 
Dah naona system ya network huku kijijini ilikuwa down wakati mnyama anakandamiza migoli ya ushindi ...Hureeeeeeeeeeeee Wekundu wa Msimbazi
 
Una maana gani Mkuu? Come on Matambo

hii ilikuwa wakati nipo desperate nikifikiri mechi ingeisha 1-1,so ina maana tungekuwa tunahitaji pointi 4,next match ni azam if tungeshinda tungebakiza pointi 1,kisha wangekuja yanga so pointi 1 hiyo tungeipata mgongoni kwa yanga na ubingwa ungepatikana mgongoni kwa yanga,how sweet that victory would have been on that day?kupata ubingwa mgongoni kwa mpinzani wako?ni raha sana,inanikumbusha ubingwa wa arsenal 2002 at old trafford na 2004 at white hart lane,it was very sweet
ila huko uk kama nimekuoffend im sorry what matters wote sie ni wanamsimbazi

simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Asante Matambo kwa kutuletea hizi updates maana mpaka dakika ya 91 ngoma ilikuwa 1-1
 
Kama nilivyosema milioni 80 tumezitumia vizuri,JKT walikuwa wanazuga wajinga tuu,mambo murua

umetumwa au?hatukuelewi,naona wewe sio simba utakuwa mbwa mwitu unless uclarify
 
Back
Top Bottom