Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kale pilau lenu! Soka bongo?
kuna mtu kaanzisha thread kwamba simba kashachukua ubingwa.naona kitu kitakuwa tayari mkuu unaweza kuanza kushangilia.Matokeo hadi mwisho yakoje? Au mita bado unaendelea? Hawa ilitakiwa kuwapiga nyingi tu
kumbe bado ? mbona kuna mtu kaweka thread ya ubingwa tayari?Kipindi cha Pili
Simba 1 Azama 0
Dakika ya 53
hizi thread za simba na yanga sasa zimezidi! kila mtu anaibuka na kuanzisha thread za simba bingwa!
Update wakuu......... tusheherekee wote jamini
Baraza anaipatia Simba goli la Pili
Simba 2-Azam 0
Ubingwa ni wetu leo, sidhani kama jamaa watarudisha hayo magoli mawili. Mnaweza kutujuza nani kafunga hayo magoli 2.