Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Matokeo hadi mwisho yakoje? Au mita bado unaendelea? Hawa ilitakiwa kuwapiga nyingi tu
 
Kipindi cha Pili

Simba 1 Azama 0

Dakika ya 53
 
Matokeo hadi mwisho yakoje? Au mita bado unaendelea? Hawa ilitakiwa kuwapiga nyingi tu
kuna mtu kaanzisha thread kwamba simba kashachukua ubingwa.naona kitu kitakuwa tayari mkuu unaweza kuanza kushangilia.

i hope hile mizee yenye njaa hawata leta migogoro tena kuja kuaribu mambo.
 
hizi thread za simba na yanga sasa zimezidi! kila mtu anaibuka na kuanzisha thread za simba bingwa!
 
hizi thread za simba na yanga sasa zimezidi! kila mtu anaibuka na kuanzisha thread za simba bingwa!

Hi ni Thread dada, mahsusi kwa Ajili ya Ubingwa, baadaye itaunganishwa na Ile Thread Mama ya Simba Special Thread
 
Baraza anaipatia Simba goli la Pili

Simba 2-Azam 0
 
huhuuuuuuuuuuu... hali ya gemu vipi? tuanze kuchapa red label??
 
Ubingwa ni wetu leo, sidhani kama jamaa watarudisha hayo magoli mawili. Mnaweza kutujuza nani kafunga hayo magoli 2.

Yote katundika Mike Barasa, ni Kipaji kilichokuwa kimepotea Njia Jangwani lakini Phiri akakileta Mahala Husika na leo kinatupa Ubingwa
 
Hii ni nzuri ninaipenda mpaka sasa. Kwani la pili nalo ni baraza?
 
Back
Top Bottom