Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Leo tumewafunga Azam 2-0 na kuwa mabingwa 2009/10.Golo zote zimefungwa na Mike Barasa- hongereni sana Simba
 
Tutajua ukweli kwenye international games, ligi yetu haisemi ukweli....katika kizazi hiki....mpira lazima uchezwe nchi nzima bila hivyo tutakuwa waangaliaji tu wa michuano ya kimataifa kama CAN..World cup n.k.
 
"Wachovu" Yanga? 22 times TZ champs vs Simba's 16? Are u serious? Come on, get yourself down to earth and raise your hands to this awesome Yanga's record!!

Historia ndio mchezo? Haya basi wao ni mabingwa kwa vile huko nyuma walichukuwa ubingwa mara 22. Yanga ni wachovu ni kwa kigezo cha sasa kwani mwaka jana Simba walikuwa wachovu.
 
simba 2 azam 0, Hongera wekundu wa msimbazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Vipi wadau kulikoni IPP media kususa habari za simba??
Huu ni upuuzi mkubwa tu mkuu,
Binafsi nimeacha kabisa kusikiliza vipindi vyote vya radio yao (sio ippmedia yote imesusa hata hivyo)!
BTW: Namwomba Mkuu sana Gonga Chomba aniazime kaneno ka kitaliano.... FORZA SIMBA. 😎
 
Yametimia

Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!

Shehe Yahya kumbe........?!!!!
 
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!

!!!!
Shabiki%2BKapagawa%2Bna%2BUshindi.jpg
 
...Nathikia rahaaaaa nathikia utamuuu rahaaaaaa utamuu. ah! nyie Thimba nyie mambo yenu thio mchedho!!!
ha ha ha Simba mnyama acha tuu mkuu!! ni rahaaa utmuuuu!! Alamba alambaaa ahmm!
 
Sheikh Yahaya alitaka kuwadanganya watu

Wachezaji wa Simba jana walimbeba kocha Phiri juu juu na kuzunguka naye uwanjani baada ya mchezo kumalizika huku mashabiki wa Simba wakimkejeli Mnajimu maarufu nchini, Sheikh Yahya, kwa madai alitabiri Simba ingefungwa.

Watu bwana wanadhani kila mtu mshirikina Simba huree
 
wazo zuri sana, hii itatufanya tuache kuwategemea wadosi
 
Congratulation Simba msimu ujao kombe linarudi Jangwani
 
Congratulation Simba msimu ujao kombe linarudi Jangwani
Kaka endelea kuota....

Sahau ubingwa kurudi Jangwani...tayari wachezaji wenu wameshanza kuomba kusajiliwa Msimbazi ili wakapige soka na Timu kubwa Barani Afrika maana nyie mnishia 1st Round tuu..abu tupu Kanda2..Hatutaki uozo wenu msimbazi tunayo strong youth team...
 
Congratulation Simba msimu ujao kombe linarudi Jangwani


...he!he!he! ma-friend Belo bana...? kumbe na weye mchana huwa unaota ndoto? nakushauri kamwone Shekhe Yahya.......
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
!!!!
 
Back
Top Bottom