Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Wachovu" Yanga? 22 times TZ champs vs Simba's 16? Are u serious? Come on, get yourself down to earth and raise your hands to this awesome Yanga's record!!
Hongereni sana watani kwa Ubingwa(maana huo ukame mlokuwa nao)....Hongereni sana wakuu
Huu ni upuuzi mkubwa tu mkuu,Vipi wadau kulikoni IPP media kususa habari za simba??
kwa taarifa yako ni Yanga pekee ndio yenye kiburi hicho....
Si Simba, JKT Ruvu, Kariakoo Lindi, au mji Mpwapwa wenye kiburi cha kuchezea uwanja mpya.
Currently Active Users Viewing This Thread: 7 (4 members and 3 guests)
Sinkala, Gang Chomba, Mafuluto, Mahesabu
Mkuu, bado mnapunguza pengo la points?
Yametimia
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
Pipipii pipiiiiii Eeeeee Kidedeaaaaa!
!!!!
...Nathikia rahaaaaa nathikia utamuuu rahaaaaaa utamuu. ah! nyie Thimba nyie mambo yenu thio mchedho!!!
ha ha ha Simba mnyama acha tuu mkuu!! ni rahaaa utmuuuu!! Alamba alambaaa ahmm!...Nathikia rahaaaaa nathikia utamuuu rahaaaaaa utamuu. ah! nyie Thimba nyie mambo yenu thio mchedho!!!
Wachezaji wa Simba jana walimbeba kocha Phiri juu juu na kuzunguka naye uwanjani baada ya mchezo kumalizika huku mashabiki wa Simba wakimkejeli Mnajimu maarufu nchini, Sheikh Yahya, kwa madai alitabiri Simba ingefungwa.
Kaka endelea kuota....Congratulation Simba msimu ujao kombe linarudi Jangwani
Congratulation Simba msimu ujao kombe linarudi Jangwani