Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,456
Kaka endelea kuota....
Sahau ubingwa kurudi Jangwani...tayari wachezaji wenu wameshanza kuomba kusajiliwa Msimbazi ili wakapige soka na Timu kubwa Barani Afrika maana nyie mnishia 1st Round tuu..abu tupu Kanda2..Hatutaki uozo wenu msimbazi tunayo strong youth team...
Wanakaribishwa kwa Moyo Mkunjufu, waachane na Timu inayoongozwa na Viongozi walio jaa Fikra Mgando kama akina Madega. Simba ina utaratibu Mzuri wa Kuwawezesha Vijana kucheza Soka katika Ligi maarufu za Ulaya! Chuji asingeleta Ubishi sasa hivi angekuwa anakula Bata Sweeden, awaangalie akina Boban na Hennry Joseph! Karibuni tu hata wakisugua Benchi lakini si wako kwenye timu kubwaa teh teh teh