Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

Unazungumza kuhusu hisa za kwenye maratasi? Hisa zenu nyinyi ndio zinanguvu ktk makaratasi ila kivitendo hisa za upande wa pili ndio zinaamua tumuuze nani na nani tununue marco polo tata na golden dragon.
Na hela zinazotoka kununua hayo uliyosema zinatoka wapi?
 
Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!

MSIMU JANA

(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1

MSIMU HUU

(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0 Coastal Union 0
Uchezaji wa msimu wa Jana Unaweza kufananisha na wa Huu msimu? Msimu wa Jana japo hakuanza vizuri lakini inakupa imani team itapata matokeo mazuri na nikutokana na soka waliokuwa wanacheza but msimu ukiangalia soka lao je wanalipa matumaini ya kufanya vizuri hapo baadae?
 
Sisi Wanamsimbazi tuna imani na walimu waliopo. Thierry Hittimana na msaidizi wake Suleiman Matola.
Hamna kitu pale. Akili zao zote zimeishia kupanga ma-striker watatu mbele wakidhani ndio watapata matokeo wakati watu wa kuwapa pasi za mwisho waliisha sepa. Wenyewe kwa wenyewe hawawezi kupeana assists na kuna upangaji mbovu wa kikosi na hasa safu ya ushambuliaji.
 
maombi na maoni yako yamesikika,yamepokelewa na yamefanyiwa kazi
 
Hatimaye wamekusilikiza, wamemchukua aliyekuwa mpishi wa Real Madrid
 
Back
Top Bottom