Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Kama tungekuwa wa kufukuza Kocha Basi Nabi angesepa kitambo.Unataka Yanga iwe inamaliza ligi bila kocha ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tungekuwa wa kufukuza Kocha Basi Nabi angesepa kitambo.Unataka Yanga iwe inamaliza ligi bila kocha ?
Na hela zinazotoka kununua hayo uliyosema zinatoka wapi?Unazungumza kuhusu hisa za kwenye maratasi? Hisa zenu nyinyi ndio zinanguvu ktk makaratasi ila kivitendo hisa za upande wa pili ndio zinaamua tumuuze nani na nani tununue marco polo tata na golden dragon.
Bank Mkuu.Na hela zinazotoka kununua hayo uliyosema zinatoka wapi?
Huko bank zilijipeleka zenyewe hazina mmilikiBank Mkuu.
Uchezaji wa msimu wa Jana Unaweza kufananisha na wa Huu msimu? Msimu wa Jana japo hakuanza vizuri lakini inakupa imani team itapata matokeo mazuri na nikutokana na soka waliokuwa wanacheza but msimu ukiangalia soka lao je wanalipa matumaini ya kufanya vizuri hapo baadae?Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!
MSIMU JANA
(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1
MSIMU HUU
(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0 Coastal Union 0
Zipo kwenye akaunti Mkuu.. Simba ni taasisi.Huko bank zilijipeleka zenyewe hazina mmiliki
Hamna kitu pale. Akili zao zote zimeishia kupanga ma-striker watatu mbele wakidhani ndio watapata matokeo wakati watu wa kuwapa pasi za mwisho waliisha sepa. Wenyewe kwa wenyewe hawawezi kupeana assists na kuna upangaji mbovu wa kikosi na hasa safu ya ushambuliaji.Sisi Wanamsimbazi tuna imani na walimu waliopo. Thierry Hittimana na msaidizi wake Suleiman Matola.
Mbona 'kwanza' zipo mbili?Kwanza hawawezi kunlipa mshahara huyo kocha, kwanza fahamu barbra ashatoka sio c.e.o tena wa simba
km wew ni Simba kwenye dimbwi unafanya nn. Tangu lini SIMBA akakaa kwa dimbwi.Sisi Wanamsimbazi tuna imani na walimu waliopo. Thierry Hittimana na msaidizi wake Suleiman Matola.