Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya wakosaji. Mkifunga nyinyi halali wakigunga yanga wametumia pesa.Huo msemo "the end justifies the means" hauko "relevant" hapa labda kama unahalalisha matumizi ya njia haramu katika soka. Uzi huu haupo katika mada hizo.
Maneno ya wakosaji. Mkifunga nyinyi halali wakigunga yanga wametumia pesa.
Lengo ni makombe hayo mengine kelele tu. Na kombe ndio the end, so the means za kupata kombe ndio zina determine ubora wa timu. The end justifies the means. Kama mwisho mbovu, malengo hayajatimia, the means ina maana haifai, rudi ukajipange.
Msemo so relevant
Unashindwa kuelewa jambo dogo la msemo mdogo kama huo kwamba the end justifies the means. Hizo sifa ulizoipa simba hazikuleta makombe ndio lengo la kila timu hasa timu kubwa kama simba hivyo hizo sifa hazina maana. Kuelewa umeelewa ila hutaki kuamini kama umeelewaUsilazimishe kupeleka mada ambapo haikuwa lengo la uzi huu na pia acha kuokoteza misemo usiyojua maana zake.
Ukusikia sifa za kijinga ndiyo hizi Sasa!Rekodi za Simba msimu huu zimebezwa sana kiasi kwamba watu wamekuwa wanazungumza mambo yasiyo na uhalisia ili tu ajenda zao binafsi ziaminiwe.
Kuna takwimu nyingi zinazothibitisha kwamba Simba ya msimu huu haijafanya vibaya kama tunavyoaminishwa.
Leo nakumbushia kuwa Simba mpaka sasa, zikiwa zimebaki mechi 2-3 kumalizika kwa msimu, Simba ndiyo timu iliyopoteza mechi chache zaidi kuliko zote ikiwa imepoteza mechi 1 tu msimu mzima mpaka sasa.
Kuna takwimu nyingine nyingi za namna hiyo mfano, Simba ndiyo timu iliyofunga magoli mengi, ndiyo timu iliyofungwa magoli machache, nk. Huko kimataifa mchambuzi mwanayanga Ramadhani Mbwaduke amesema mara kwa mara kuwa ukiangalia takwimu mbalimbali za uwanjani, Simba ya msimu huu ni bora kuliko zile za misimu iliyopita.
Ni kweli Simba haijabeba kombe lolote msimu huu ila ni dhahiri juhudi zilifanyika na namba hizi hazidanganyi.
Sawa Bwana Nafaka, mzee wa the end justifies the means. Nadhani ungetumia maneno hayo katika uzi HUU hata Yanga wenzio wangekukaanga.Unashindwa kuelewa jambo dogo la msemo mdogo kama huo kwamba the end justifies the means. Hizo sifa ulizoipa simba hazikuleta makombe ndio lengo la kila timu hasa timu kubwa kama simba hivyo hizo sifa hazina maana. Kuelewa umeelewa ila hutaki kuamini kama umeelewa