Simba, timu iliyopoteza mechi chache kuliko zote msimu huu

Ni relevant kabisa maana the end justifies the means.
Huo msemo "the end justifies the means" hauko "relevant" hapa labda kama unahalalisha matumizi ya njia haramu katika soka. Uzi huu haupo katika mada hizo.
 
Huo msemo "the end justifies the means" hauko "relevant" hapa labda kama unahalalisha matumizi ya njia haramu katika soka. Uzi huu haupo katika mada hizo.
Maneno ya wakosaji. Mkifunga nyinyi halali wakigunga yanga wametumia pesa.
Lengo ni makombe hayo mengine kelele tu. Na kombe ndio the end, so the means za kupata kombe ndio zina determine ubora wa timu. The end justifies the means. Kama mwisho mbovu, malengo hayajatimia, the means ina maana haifai, rudi ukajipange.
Msemo so relevant
 
Usilazimishe kupeleka mada ambapo haikuwa lengo la uzi huu na pia acha kuokoteza misemo usiyojua maana zake.

Usilazimishe kupeleka mada ambapo haikuwa lengo la uzi huu na pia acha kuokoteza misemo usiyojua maana zake.
Unashindwa kuelewa jambo dogo la msemo mdogo kama huo kwamba the end justifies the means. Hizo sifa ulizoipa simba hazikuleta makombe ndio lengo la kila timu hasa timu kubwa kama simba hivyo hizo sifa hazina maana. Kuelewa umeelewa ila hutaki kuamini kama umeelewa
 
Ukusikia sifa za kijinga ndiyo hizi Sasa!
 
Sawa Bwana Nafaka, mzee wa the end justifies the means. Nadhani ungetumia maneno hayo katika uzi HUU hata Yanga wenzio wangekukaanga.
 
Sawa Bwana Nafaka, mzee wa the end justifies the means. Nadhani ungetumia maneno hayo katika uzi HUU hata Yanga wenzio wangekukaanga.
Hapana mimi namwaga fact mkuu na watu wengi wanapenda kusikia kinachowafurahisha sio uhalisia
 
Huo ndo ukweli unaoumaaa...watu wako wamechukua ubingwa huku wana kinyongo...
Jamani uchawi upoo
 
Hapana mimi namwaga fact mkuu na watu wengi wanapenda kusikia kinachowafurahisha sio uhalisia
Ni kweli kabisa ndiyo maana wenzio wengi wamevamia uzi kwa makasiriko bila kuangalia "facts" zilizoletwa mezani wala mada husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…