Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

Yaan unakurupuka bila hata kusoma niliandika nini. I was asking kuhusu huo utaratibu wa timu kuanzia raundi ya pili kwa kuzingatia mafanikio binafsi. UEFA hawana huo utaratibu. Utaratibu wao hupangwa kutokana na ubora wa ligi. Leicester akichukua Kombe EPL uliona akianzia PL stage?? Kwann africa Bingwa aanzie Hatua ya awali na mshindi wa pili aanzie hatua ya pili??

Hapo ndipo naposema huo ni utaratibu wa kijinga kuwahi kutokea Duniani.

Hauwezi kuwa utaratibu wa kijinga mzee, labda ujinga ni yule anayesubiri mwenzake afanye vizuri kisha yeye apitie fursa hiyo.

CAF wanataka timu bora katika mashidano yake kwa kuwa uwiano mzuri wa performance.

Uefa wao wanautaratibu pia katika kupanga groups. Timu bora huwekwa pamoja then zinachomolewa moja moja. Uefa ranking coefficient inatumika
 
Back
Top Bottom