Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

ULISIKIA WAPI
ya ulaya yaache ulaya bwashee hii ni afrika lakini tayari mambo magumu orlando anaongoiza mbili sasa hivi huko kabakiza points 3 tu kushika nafasi ya pili ligi yao hapo nafasi kumi za kuanzia round ya kwanza zitakuwa zimejaa



The winner of the CAF Confederation Cup is in for a shock when it comes to participating in next season’s CAF Champions League.

According to the continental football governing body {CAF}, they won’t be playing in the Champions League starting next season but for a technically in the rule book.


Obscure regulation means CAF Confederation Cup winner cannot play in Champions League.

The rules state that in order to qualify for the Champions League, a team has to secure a league position of first or second in the top 12 ranked leagues in Africa, and finish first outside these leagues to complete the set.

https://www.sportsplugke.co.ke/socc...p-winner-cant-participate-in-champions-league

Quot
 
Usichanganye mzee UEFA na CAF ni vyombo viwili tofauti na vinajitegemea kimawazo. Kwenye soka ambacho kila shirikisho lisimamie ni sheria 17 za mpira. Mengine yanapangwa na shirikisho husika. Sasa wewe kuita ujinga utaratibu wa CAF kisa tu hauisaidii timu yako, haina maana yoyote. Na mwingine anaweza kusema utaratibu wa UEFA ni wa kijinga vilevile kwanini kila timu isibebwe na mafanikio yake ibebwe na ligi?

Utaratibu wa CAF upo wazi, Yanga Kama mshiriki anatakiwa kupambana kwelikweli avuke hatua ya awali na ajikusanyie points zake, sio kukaa kulialia anufaike kwa jasho la mwenzake, wakati kila mgeni akija wao kazi yao ni kushangilia wageni.
Kla mtu apambane kivyake
 
Mbona msimu uliyopita ulianzia first round na bado ukatupwa nje ya ligi ya mabingwa na timu dhaifu kutoka Botswana. Hivyo haisadii kiivyo
 
Utopwinyo wanahofia wanaweza kukutana tena na kina Akwa au enyimba kwenye PL stage!!!....wazee wa kuchezewa nyuma na mbele.!!!!

Simba kapambana miaka minne kujitengenezea mafanikio yake ,ninyi wazee wa kununua ubingwa kwa hongo za milioni 10 mnataka na huku mpate felelee??

Subirini wapopo waje kuwatoa nishai kwa mkapa na huko lagos mrudi kuja kuwanga Tz.
 
Afrika ina mabingwa wa ngapi bwasheee? siyo 54? unataka wote waanzie round ya awali? huoni hapo kwenye top 10 kuna hadi bingwa wa shirikisho berkane, kuna pyrmaids, kuna orlando pirates hawapo hata klabu bingwa?unataka bingwa wa sudan kusini na somalia nao waanzie round ya kwanza?

UBingwa ununue kwa tigo pesa CAf wakupeleke round ya kwanza ? kuna kitu kinaitwa 5 years ranking sytem , youhave to earn it my friend...siyo kila msimu unaanzia round ya kwanza unapigwa nje ndani na kipoint chako 0.5 kwa misimu mitano uje upate magoli kama ya dodoma jiji keeper kusukumia golini kwake uwe bingwa CAF wakupeleke round ya kwanza

YOU HAVE TO EARN IT....
Imetosha utamuua😂😂😂
 
Utopwinyo wanahofia wanaweza kukutana tena na kina Akwa au enyimba kwenye PL stage!!!....wazee wa kuchezewa nyuma na mbele.!!!!

Simba kapambana miaka minne kujitengenezea mafanikio yake ,ninyi wazee wa kununua ubingwa kwa hongo za milioni 10 mnataka na huku mpate felelee??

Subirini wapopo waje kuwatoa nishai kwa mkapa na huko lagos mrudi kuja kuwanga Tz.
kwahio nyie makilikili waliwachezea nyuma tu? alafu mtuambie kombe la FA mmetuuzia sh ngapi
 
Dah mazee sahel amepigwa na us monastir amebaki na point 11 na mechi mbili mkonon akishinda zote ana 17. Esperance ana point 17 anacheza kesho.
Sahel kabakiza game na Esperance na club African .
Tuombe dua dua Kesho Esperance apate hata sare afikishe point 18 kama monastir mchezo umeisha
Screenshot_2022-06-18-23-11-17-599_com.mobilefootie.wc2010.jpg
 
Back
Top Bottom