safetymaster
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 226
- 285
hujui kama UEFA kuna preliminary stage?Basi kama hujui mkuu wewe si mfuatiliaji wa soka!UEFA wanaangalia huo UJINGA??
AMERIKA YA KUSINI mashindano yao pia huangaliwa hiv??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujui kama UEFA kuna preliminary stage?Basi kama hujui mkuu wewe si mfuatiliaji wa soka!UEFA wanaangalia huo UJINGA??
AMERIKA YA KUSINI mashindano yao pia huangaliwa hiv??
Yaan unakurupuka bila hata kusoma niliandika nini. I was asking kuhusu huo utaratibu wa timu kuanzia raundi ya pili kwa kuzingatia mafanikio binafsi. UEFA hawana huo utaratibu. Utaratibu wao hupangwa kutokana na ubora wa ligi. Leicester akichukua Kombe EPL uliona akianzia PL stage?? Kwann africa Bingwa aanzie Hatua ya awali na mshindi wa pili aanzie hatua ya pili??hujui kama UEFA kuna preliminary stage?Basi kama hujui mkuu wewe si mfuatiliaji wa soka!
Pambana uingie top 10 ya CAF.Yaan unakurupuka bila hata kusoma niliandika nini. I was asking kuhusu huo utaratibu wa timu kuanzia raundi ya pili kwa kuzingatia mafanikio binafsi. UEFA hawana huo utaratibu. Utaratibu wao hupangwa kutokana na ubora wa ligi. Leicester akichukua Kombe EPL uliona akianzia PL stage?? Kwann africa Bingwa aanzie Hatua ya awali na mshindi wa pili aanzie hatua ya pili??
Hapo ndipo naposema huo ni utaratibu wa kijinga kuwahi kutokea Duniani.
Wanapendelea!! Kwa nini Timu ya WANANCHI hata kwenye 25 haimo!! Kwani hawajui wananchi ndio mabingwa wa bongo!Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu?
Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika teams zilizoko juu yetu uhakika tatu kwenye ligi haziwezi kucheza champions league,team hizo ni Orlando pirates ambao ingawa wana viporo vitatu nafasi mbili z ajuu zishachukuliwa na mamelodi na ajax cape town....pyramids wao wako juu yetu pia lakini kuna kigingi cha ahly na zamalek..huko moroko ,berkane ana kigingi cha wydad na Raja
Sasa shughuli inabaki hapo Tunisia Etoile du sahel anaweza sabisha tukaanzia round ya awali na WAJINGAWAJINGA cha kufurahisha ni kwamba na yeye ana struggle yuko nafasi ya tatu kwenye ligi ndogo ya teams za juu wanaita championship round maana wana system kama ya ubelgiji ligi ikiisha kuna top teams zinagombea ubingwa na bottom ones wana fight relegation
TUENDELEE KUOMBEA SANA HAWA JAMAA WAMALIZE WA TATU AU WA NNE hapo njia nyeupeee kuanzia round ya kwanza na kundi la elites siyo VILAZA
View attachment 2234057View attachment 2234063
Haupo sawa ndugu,pumzika kunywa maji ukae kwenye hewa safi. Uwezo wako wa kuchakata mambo na kulinganisha vitu unatia mashaka.Yaan unakurupuka bila hata kusoma niliandika nini. I was asking kuhusu huo utaratibu wa timu kuanzia raundi ya pili kwa kuzingatia mafanikio binafsi. UEFA hawana huo utaratibu. Utaratibu wao hupangwa kutokana na ubora wa ligi. Leicester akichukua Kombe EPL uliona akianzia PL stage?? Kwann africa Bingwa aanzie Hatua ya awali na mshindi wa pili aanzie hatua ya pili??
Hapo ndipo naposema huo ni utaratibu wa kijinga kuwahi kutokea Duniani.
Yaan unakurupuka bila hata kusoma niliandika nini. I was asking kuhusu huo utaratibu wa timu kuanzia raundi ya pili kwa kuzingatia mafanikio binafsi. UEFA hawana huo utaratibu. Utaratibu wao hupangwa kutokana na ubora wa ligi. Leicester akichukua Kombe EPL uliona akianzia PL stage?? Kwann africa Bingwa aanzie Hatua ya awali na mshindi wa pili aanzie hatua ya pili??
Hapo ndipo naposema huo ni utaratibu wa kijinga kuwahi kutokea Duniani.
Bingwa wa confederation cup hachezi klabu bingwa endapo kwenye ligi yao hajafuzu kucheza klabu bingwaBERKANE anacheza champions league msimu huu sababu ni bingwa wa confederation cup
Kapange wa kwako utakaoibeba Yanga, hata hiyo ligi Bora imetengenezwa na Simba kupitia kimataifaSibaishani na Wavaa Shanga aseee.
Nimeeleza wazi huo utaratibu hauna maana, hizo ranks za nini kwa klabu katika kuanzia hatua ya pili??
Wangetumua mfumo wa Ligi 12 6 bora au 10 bora zitoe timu 2 basi.
Huu ujinga wa kwamba time imepewa rank namba kadhaa ikashiriki kuanzia hatua ya pili ndio kitu ambacho kibadilishwe au ww Bi Fatma umeelewaje.??
Yaani Yanga yetu haipo !inazidiwa na no34,bayo s ijui!Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu?
Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika teams zilizoko juu yetu uhakika tatu kwenye ligi haziwezi kucheza champions league,team hizo ni Orlando pirates ambao ingawa wana viporo vitatu nafasi mbili z ajuu zishachukuliwa na mamelodi na ajax cape town....pyramids wao wako juu yetu pia lakini kuna kigingi cha ahly na zamalek..huko moroko ,berkane ana kigingi cha wydad na Raja
Sasa shughuli inabaki hapo Tunisia Etoile du sahel anaweza sabisha tukaanzia round ya awali na WAJINGAWAJINGA cha kufurahisha ni kwamba na yeye ana struggle yuko nafasi ya tatu kwenye ligi ndogo ya teams za juu wanaita championship round maana wana system kama ya ubelgiji ligi ikiisha kuna top teams zinagombea ubingwa na bottom ones wana fight relegation
TUENDELEE KUOMBEA SANA HAWA JAMAA WAMALIZE WA TATU AU WA NNE hapo njia nyeupeee kuanzia round ya kwanza na kundi la elites siyo VILAZA
View attachment 2234057View attachment 2234063
Ya rede yenyewe inajulikanaMbona hapo siwaoni utopolo au wao ni timu ya rede?
Mpaka sasa siioni Etoil du sahel wakishika namba mbili kwenye ligi yao kwa mechi tatu zilizosalia, Monastir iko moto sana msimu huu
Hapo hatoboiMsimamo ukoje na next three games anacheza na nani ? ?
Etoile akijitahidi atavuba points 4 tu kati ya 9 kwa hizo mechi 3 zilizobaki. Timu pekee anayoweza pata matokeo mazuri labda ni dhidi ya Club Africain ila kwa hao wengine itokee bahati tu.
Yanga mbona hawapo kaka!Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu?
Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika teams zilizoko juu yetu uhakika tatu kwenye ligi haziwezi kucheza champions league,team hizo ni Orlando pirates ambao ingawa wana viporo vitatu nafasi mbili z ajuu zishachukuliwa na mamelodi na ajax cape town....pyramids wao wako juu yetu pia lakini kuna kigingi cha ahly na zamalek..huko moroko ,berkane ana kigingi cha wydad na Raja
Sasa shughuli inabaki hapo Tunisia Etoile du sahel anaweza sabisha tukaanzia round ya awali na WAJINGAWAJINGA cha kufurahisha ni kwamba na yeye ana struggle yuko nafasi ya tatu kwenye ligi ndogo ya teams za juu wanaita championship round maana wana system kama ya ubelgiji ligi ikiisha kuna top teams zinagombea ubingwa na bottom ones wana fight relegation
TUENDELEE KUOMBEA SANA HAWA JAMAA WAMALIZE WA TATU AU WA NNE hapo njia nyeupeee kuanzia round ya kwanza na kundi la elites siyo VILAZA
View attachment 2234057View attachment 2234063
wako nafasi ya 78 wanatakiwa waombee njaa teams 69 zifeli ili wawe top 10Yanga mbona hawapo kaka!
Watakua wamekosea si wanaongoza ligi huku nyumbani, !wako nafasi ya 78 wanatakiwa waombee njaa teams 69 zifeli ili wawe top 10
hahahahaha kwa miaka 5 ile ambayo CAF wanatumia ku calculate points wanazo 0.5Watakua wamekosea si wanaongoza ligi huku nyumbani, !