Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

Hii kitu itawasaidia nini kubeba taji la ligi kuu bara NBC mwaka huu??? aU BaSi
 
jamaa wanadhani ubingwa tanganyika ndo wamemaliza kila kitu hawajui hata bingwa wa zanizbar na mshindi wa pili wanacheza michezo ya CAF au wanataka kina kmkm nao waanzie round ya kwanza? hawajui kwamba ni top 10 teams tu ndiyo maana tunaombea njaa mtu ateleze hapo maana 3 zishateleza..sasa majitu yako nafasi ya 78 labda yaombee njaa teams 69 ziteleze
Hahaha [emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
sidhani kama lile kosa la jwaneng litajirudia, baad aya ile mechi pascal wawa kuchanwa makavu na Gomez wakati alipofukuzwa unaona kabisa wawa alianza kukaza, ile game angecheza Inonga labda hata ule mpira wa kurusha angeweza kuruka...somo viongozi walishalipata team itakaa vizuri mkuu hiiligi iishe tu usajili utangazwe...Etoile nakuhakikishia hamalizi top 2....
Tusubiri tuone,nina wasi etoile anaweza kumaliza nafasi ya pili.
 
Sijawahi kuona BINGWA anaanzia MCHANGANI afu RUN UP anaanzia hatua ya PILI.
Hii ni sawa na Bingwa wa EPL aanzie MCHANGANI afu yule wa NNE aanzie GROUP STAGE KISA TU NI BINGWA MTETEZI.

Afrika tuna aina yetu ya ujinga.
Kuna mambingwa na mabingwa kama utopolo.
 
Afrika ina mabingwa wa ngapi bwasheee? siyo 54? unataka wote waanzie round ya awali? huoni hapo kwenye top 10 kuna hadi bingwa wa shirikisho berkane, kuna pyrmaids, kuna orlando pirates hawapo hata klabu bingwa?unataka bingwa wa sudan kusini na somalia nao waanzie round ya kwanza?
UBingwa ununue kwa tigo pesa CAf wakupeleke round ya kwanza ? kuna kitu kinaitwa 5 years ranking sytem , youhave to earn it my friend...siyo kila msimu unaanzia round ya kwanza unapigwa nje ndani na kipoint chako 0.5 kwa misimu mitano uje upate magoli kama ya dodoma jiji keeper kusukumia golini kwake uwe bingwa CAF wakupeleke round ya kwanza

YOU HAVE TO EARN IT....
Masta huna akili, HATUA HIZO HAZIPASWI KUJENGWA KUTOKANA NA RANK YA TIMU, Duniani kote hupangwa kutokana na Ubora wa Ligi husika.

Mfano UFARANSA UCL wanapeleka timu 3 ni kwa sababu ya ubora wa Ligi yao umeshuka.

Unapotoa hoja weka akili sawa sio unatoka mipasho kama mwanamke.

Fact ya msingi waweke mfumo wa ligi 12 bora wale mabingwa wa wataanzia hatua ya Pili na sio unachagua timu binafsi ianzie hatua ya pili, kuna kuwa hakuna fair challenge kwenye hizo ligi.

Miaka Yote, unakuta ZAMALEK, AL AHLY, WIDAD, RAJA wao wanaanzia hatua ya pili how??

Lazima wabadilishe, ona sasa SIMBA ni KIBONDE anawezaje kuanzia hatua ya pili?? Mwaka jana hapa alianzia hiyo hatua na aibu ikapatikana asubuhi tu.

Timu ziwe Ranked kutokana Quality na sio mtu kujipendekeza.
 
wadau naombeni mje mlijibu hili bwege hapa? jinga kweli hili sasa kwenye hii list embu hesabu teams zako kumi zinazotokana na ubora wa ligi halafu taja wewe teams za kuanzia round ya kwanza
ubora afrika 1.PNG
 
sidhani kama lile kosa la jwaneng litajirudia, baad aya ile mechi pascal wawa kuchanwa makavu na Gomez wakati alipofukuzwa unaona kabisa wawa alianza kukaza, ile game angecheza Inonga labda hata ule mpira wa kurusha angeweza kuruka...somo viongozi walishalipata team itakaa vizuri mkuu hiiligi iishe tu usajili utangazwe...Etoile nakuhakikishia hamalizi top 2....
Kosa hilo hilo la Makirikiri lilianzia kwa Ud Songo
 
Masta huna akili, HATUA HIZO HAZIPASWI KUJENGWA KUTOKANA NA RANK YA TIMU, Duniani kote hupangwa kutokana na Ubora wa Ligi husika.

Mfano UFARANSA UCL wanapeleka timu 3 ni kwa sababu ya ubora wa Ligi yao umeshuka.

Unapotoa hoja weka akili sawa sio unatoka mipasho kama mwanamke.

Fact ya msingi waweke mfumo wa ligi 12 bora wale mabingwa wa wataanzia hatua ya Pili na sio unachagua timu binafsi ianzie hatua ya pili, kuna kuwa hakuna fair challenge kwenye hizo ligi.

Miaka Yote, unakuta ZAMALEK, AL AHLY, WIDAD, RAJA wao wanaanzia hatua ya pili how??

Lazima wabadilishe, ona sasa SIMBA ni KIBONDE anawezaje kuanzia hatua ya pili?? Mwaka jana hapa alianzia hiyo hatua na aibu ikapatikana asubuhi tu.

Timu ziwe Ranked kutokana Quality na sio mtu kujipendekeza.

Masta huna akili, HATUA HIZO HAZIPASWI KUJENGWA KUTOKANA NA RANK YA TIMU, Duniani kote hupangwa kutokana na Ubora wa Ligi husika.

Mfano UFARANSA UCL wanapeleka timu 3 ni kwa sababu ya ubora wa Ligi yao umeshuka.

Unapotoa hoja weka akili sawa sio unatoka mipasho kama mwanamke.

Fact ya msingi waweke mfumo wa ligi 12 bora wale mabingwa wa wataanzia hatua ya Pili na sio unachagua timu binafsi ianzie hatua ya pili, kuna kuwa hakuna fair challenge kwenye hizo ligi.

Miaka Yote, unakuta ZAMALEK, AL AHLY, WIDAD, RAJA wao wanaanzia hatua ya pili how??

Lazima wabadilishe, ona sasa SIMBA ni KIBONDE anawezaje kuanzia hatua ya pili?? Mwaka jana hapa alianzia hiyo hatua na aibu ikapatikana asubuhi tu.

Timu ziwe Ranked kutokana Quality na sio mtu kujipendekeza.
kwa hiyo libya ambayo ligi yao iko ranked number 12 nyuma ya Tanzania team yao ya Ahl tripoli inayoshika nafasi ya 24 inaanzia round ya kwanza siyo? ndiyo logic yako hiyo na akili zako zimeishia hapo kabisaaaaa??????

Nigeria nayo itatoa team round ya kwanza siyo???lahaula
 
Kosa hilo hilo la Makirikiri lilianzia kwa Ud Songo
Embu tuachane na hilo hivi kumbe kupitia huu uzi nimeshangaa kuna utopolo wanaamini kwamba wanaanzia round ya kwanza? kuna fala mmoja hapo juu kaniita mimi mjinga sijui lolote eti bingwa wa Tz ataanzia round ya kwanza sababu ligi ipo top 12...jitu linafurahia points za top 12 lakini likiambiwa waliokusanya hizo points zitawabeba kwenye elite 1o clubs linanuna
 
Masta huna akili, HATUA HIZO HAZIPASWI KUJENGWA KUTOKANA NA RANK YA TIMU, Duniani kote hupangwa kutokana na Ubora wa Ligi husika.

Mfano UFARANSA UCL wanapeleka timu 3 ni kwa sababu ya ubora wa Ligi yao umeshuka.

Unapotoa hoja weka akili sawa sio unatoka mipasho kama mwanamke.

Fact ya msingi waweke mfumo wa ligi 12 bora wale mabingwa wa wataanzia hatua ya Pili na sio unachagua timu binafsi ianzie hatua ya pili, kuna kuwa hakuna fair challenge kwenye hizo ligi.

Miaka Yote, unakuta ZAMALEK, AL AHLY, WIDAD, RAJA wao wanaanzia hatua ya pili how??

Lazima wabadilishe, ona sasa SIMBA ni KIBONDE anawezaje kuanzia hatua ya pili?? Mwaka jana hapa alianzia hiyo hatua na aibu ikapatikana asubuhi tu.

Timu ziwe Ranked kutokana Quality na sio mtu kujipendekeza.
Hujakosea . Ni haki yako Maana hii ndiyo aina ya watu walioko huko utopoloni . Hapa unazidi kutuonesha kwamba Manara hakukosea kusema kwamba kule usukuleni wenye akili ni wawili tu Sunday Manara na Rais mstaafu JK.
 
Kwa hiyo kwa ubora Africa Simba inazidiwa na Yanga? [emoji23][emoji23]
 
Hii kitu itawasaidia nini kubeba taji la ligi kuu bara NBC mwaka huu??? aU BaSi
Sio mahala pake wanachangia wenyewe akili tu ambao ni simba wale uto mkajadili michezo ya rede na mambo mengine
 
Hujakosea . Ni haki yako Maana hii ndiyo aina ya watu walioko huko utopoloni . Hapa unazidi kutuonesha kwamba Manara hakukosea kusema kwamba kule usukuleni wenye akili ni wawili tu Sunday Manara na Rais mstaafu JK.
jamaa kanisikitisha sana kwa kweli halafu eti ananisuta anajiona mjaanja kumbe bwege..sasa tufanye yuko sahihi kwamba ni ligi bora ndo zinatoa bingwa kwenda huko..je msimu huu simba kaanzia round ya kwanza sasa Tanzania ilikuwa kwenye top 10 ya ligi za CAf ,si ilikuwa ya 12? na teams za kuanza round ya kwanzani 10 tu
 
Kwa hiyo kwa ubora Africa Simba inazidiwa na Yanga? [emoji23][emoji23]
Kanishangaza na kunisikitisha kwa kweli, hajui ligi top ranked za caf zinapatikanaje , kwa mfano nigeria labda kwamiaka 3 Enyimba aliifikisha points kadhaa zikaenda kwenye chama chao cha soka halafu mwaka wa tano katokea team labda Akwa united , kafika round ya pili ka trigger alipoishia enyimba zikasaidia chama cha soka(ligi ya nigeria) kufika points kadhaaa na kuwaweka top 10 basi mwaka huu bingwa wa huko awe utapuutapu fc na points zake 0.5 aaanzie round ya kwanza sababu ligi ya nigeria iko top 10

AKILI ZA WAPI HIZI JAMANI? mnataka mdandie hata zile points 2 za Namungo,wanajua ligi bora zinapatikanaje? kwenye viwango huko CAF?
 
Masta huna akili, HATUA HIZO HAZIPASWI KUJENGWA KUTOKANA NA RANK YA TIMU, Duniani kote hupangwa kutokana na Ubora wa Ligi husika.

Mfano UFARANSA UCL wanapeleka timu 3 ni kwa sababu ya ubora wa Ligi yao umeshuka.

Unapotoa hoja weka akili sawa sio unatoka mipasho kama mwanamke.

Fact ya msingi waweke mfumo wa ligi 12 bora wale mabingwa wa wataanzia hatua ya Pili na sio unachagua timu binafsi ianzie hatua ya pili, kuna kuwa hakuna fair challenge kwenye hizo ligi.

Miaka Yote, unakuta ZAMALEK, AL AHLY, WIDAD, RAJA wao wanaanzia hatua ya pili how??

Lazima wabadilishe, ona sasa SIMBA ni KIBONDE anawezaje kuanzia hatua ya pili?? Mwaka jana hapa alianzia hiyo hatua na aibu ikapatikana asubuhi tu.

Timu ziwe Ranked kutokana Quality na sio mtu kujipendekeza.
Hii mkuu sio rahisi kufanyika. Ni lazima waangalie club ranking. Form Vs Class!Form is temporary, class is permanent. Wakisema wanachukua tu bingwa ndo aanzie round ya pili pengine bingwa alitokana na changamoto za mashindano(mfano mzuri mabingwa waliopatikana kipindi cha corona baada ya ligi kuahirishwa).

Kwa hiyo ni lazima CAF Champions league iwe na timu zinazoweza kutoa ushindani na walau ziwe zimethibitisha hilo kupitia cumulative points ambazo klabu imekuwa ikizipata kupitia CAFCCL na CAFCC. Na ili kufanikisha hili wanachukua timu zilizofuzu katika ligi za ndani na kulinganisha rankings kwa klabu za nchi tofauti.
 
Back
Top Bottom