Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

Ukiwa bingwa wa SHIRIKISHO huendi KLABU BINGWA AFRIKA??
English unajua mr uto?maana unaonekana kichwani ni empty set kama SOPE ALBINO

The winner of the CAF Confederation Cup is in for a shock when it comes to participating in next season’s CAF Champions League.

According to the continental football governing body {CAF}, they won’t be playing in the Champions League starting next season but for a technically in the rule book.

Obscure regulation means CAF Confederation Cup winner cannot play in Champions League.

The rules state that in order to qualify for the Champions League, a team has to secure a league position of first or second in the top 12 ranked leagues in Africa, and finish first outside these leagues to complete the set.

Setif? ila shida kubwa ni Etoile du sahel mkuu....sababu wao ,simba na setif ndiyo wanaweza ku grab hiyo nafasi moja iliyobaki ..Horoya na Petro atletico washapenya kiulaiini
Kuna mdau juu ndio nilikuwa namjibu, kuna kitu kakiongelea kuhusu Setif
 
Sibaishani na Wavaa Shanga aseee.
Nimeeleza wazi huo utaratibu hauna maana, hizo ranks za nini kwa klabu katika kuanzia hatua ya pili??
Wangetumua mfumo wa Ligi 12 6 bora au 10 bora zitoe timu 2 basi.

Huu ujinga wa kwamba time imepewa rank namba kadhaa ikashiriki kuanzia hatua ya pili ndio kitu ambacho kibadilishwe au ww Bi Fatma umeelewaje.??
Unachanganya mambo hapo, ligi bora top 12 africa zinaingiza timu nne, mbili CAFCL na mbili CAFCC na ubora unapimwa na idadi ya points ambazo timu zinavuna kwenye mashindano ya CAF. Na timu zinazovuna points zaidi hazichezi preliminary stage.
 
haelewi unapoteza muda wako yeye keshaaminishwa na sope albino kwamba wakiwa mabingwa wanaanzia round ya kwanza na points zao 0.5
 
Unachanganya mambo hapo, ligi bora top 12 africa zinaingiza timu nne, mbili CAFCL na mbili CAFCC na ubora unapimwa na idadi ya points ambazo timu zinavuna kwenye mashindano ya CAF. Na timu zinazovuna points zaidi hazichezi preliminary stage.
Ninachosema ni utaratibu wa kijinga na hautumiki katika bara lolote isipokuwa hili bara giza.
 
Simba aanze popote pale ataendeleza kibano kama kawaida yake.
 
Ninachosema ni utaratibu wa kijinga na hautumiki katika bara lolote isipokuwa hili bara giza.
Una point.Sema uchumi wa hizi klabu za kiafrika changamoto sana, fikiria Biashara ndio amepelekwa moja kwa moja group stage halafu ndio hivyo hana nauli. Hatua ya awali au ya pili inasaidia kuondoa wasio serious na mashindano. Kuiga ulaya ni vizuri ila angalia na hali yako.
 
5A267E6F-CF8A-4514-9FCB-41464313E6D2.png
 
Huu utaratibu wa kuchezwa ligi ndogo baada ya hii ligi ya hongahonga, ungesaidia sana kwa timu zetu kuwa bora.
Fikiria ligi ndogo ya timu 8. Zinapigwa game moja tu hakuna home and away
 
Huo ndiyo utaratibu mzuri sana
 
Afrika ina mabingwa wa ngapi bwasheee? siyo 54? unataka wote waanzie round ya awali? huoni hapo kwenye top 10 kuna hadi bingwa wa shirikisho berkane, kuna pyrmaids, kuna orlando pirates hawapo hata klabu bingwa?unataka bingwa wa sudan kusini na somalia nao waanzie round ya kwanza?

UBingwa ununue kwa tigo pesa CAf wakupeleke round ya kwanza ? kuna kitu kinaitwa 5 years ranking sytem , youhave to earn it my friend...siyo kila msimu unaanzia round ya kwanza unapigwa nje ndani na kipoint chako 0.5 kwa misimu mitano uje upate magoli kama ya dodoma jiji keeper kusukumia golini kwake uwe bingwa CAF wakupeleke round ya kwanza

YOU HAVE TO EARN IT....
Umeongea point mkuu naunga hoja
 
Umemaliza, sina cha kupunguza wala kuongeza.
 
Back
Top Bottom