Simba tujipange, Uto wamekamia kumalizia hasira yao tarehe 23/10/2022. Tawi la mwisho liteleze!

Trust me hawafurukuti this time.. Majj ya shingo
 
Kilele cha mafanikio ya Yanga ni kuona wanaifunga Simba!! Wako radhi wafungwe na timu zote ila waifunge Simba! GSM anajua akiifunga simba ataendeleza mrija wake pale yanga!! Anajua kula na vipofu!!
 
Safari hii pamoja na mbinu ya yanga ya bahasha, hata hivyo kipigo kipo pale pale!!
 
Usiku wa deni haukawii kucha!! kumekucha tayari uto tafuteni pa kujificha!! Mnyama mkali anakuja kwa mkapa!
 
Kwa wachezaji gani mkuu??
Kutolewa Champions League kwa Yanga usidhani Yanga ni Mchekea, utapigwa hadi ushangae.

Nachowakubali Yanga kwenye Dabi hawanaga utani, wanakiwasha ile mbaya.
Yanga hawana mpira wa class ya Simba sema ni mpira wa mauza uza tu ndo unawabeba.
 
Mnakwenda wapu nyie makundi mwisho wenu
 
Uzuri tuna mtoto wa Tanga halogekiiii ...Mgunda najua utakua umeshapata dawa ya hawa ropo ropo wafanye wakalale na maumivu makali km tumewatumbua jipu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa uchawi waliofanya makolo watashinda hiyo siku au watadraw.Tunza komenti yangu Mimi ni Yanga lialia.
Manura alienda kutupa nini sijui golini lakini wapi.[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…