Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trust me hawafurukuti this time.. Majj ya shingoIko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba.
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!
Yanga hawana mpira wa class ya Simba sema ni mpira wa mauza uza tu ndo unawabeba.Kwa wachezaji gani mkuu??
Kutolewa Champions League kwa Yanga usidhani Yanga ni Mchekea, utapigwa hadi ushangae.
Nachowakubali Yanga kwenye Dabi hawanaga utani, wanakiwasha ile mbaya.
Wamekaririshwa tu, ile Simba Sc haijawahi kuacha points 3 kwa Yanga kizembe.Watu wamekariri kumbe matokeo ta derby ya kwny ligi kuu ndo yako hivi . Sasa hapo uteja wa simba uko wapi
View attachment 2393124
Mnakwenda wapu nyie makundi mwisho wenuSawa acha iwe ivyo tukung'utwe baada ya hapo maisha yataendelea.
Simba kaingia makundi kavuna 1.4b,akivuka kwenda robo kuna 2.b.akivuka kwenda nusu 3.b.
Kusingekua na madili hayo [emoji115]hakika Simba wangekua na presha ya daby na presha ingekuwepo.
Manura alienda kutupa nini sijui golini lakini wapi.[emoji1]Kwa uchawi waliofanya makolo watashinda hiyo siku au watadraw.Tunza komenti yangu Mimi ni Yanga lialia.