BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Kuelewa umeelewa lakini? tukutane saa sita usiku unipe mrejesho. Kama nakuona ulivyo fula kwa majonzi ulitaka waafrica wenzako wafungwe?
Huu sasa ubaguz. Kwa hyo Misri siyo Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuelewa umeelewa lakini? tukutane saa sita usiku unipe mrejesho. Kama nakuona ulivyo fula kwa majonzi ulitaka waafrica wenzako wafungwe?
Huu ndio ukweli wenyewe japo watu hawataki kuusikiaMimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?
Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.
Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Chukua hyoPicha ya dada mmoja tafadhali,maana mechi naangalia nyumbani kushuhudia mrembo akikatwa shanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli kule ni africa braza?
Mzalendo hovyo kabisa ww endesheni harambee changia timu ilipe mishaharaMimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?
Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.
Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Ludini tucheze ligi ya nyumbani viporo vimekuwa vingi.Mzalendo hovyo kabisa ww endesheni harambee changia timu ilipe mishahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona una mtazamo hasi mleta uzi.Unafahamu faida za Simba kufika robo fainali kwa nchi?Nakwambia wewe siyo Mzalendo.Achaneni na mambo ya simba na yanga
Sent using Jamii Forums mobile app