Simba tuliwapenda sana ila safari yenu hapa ndo mwisho.

Soura hawezi achwa na alahly the same vita hawezi achwa na simba mwisho
Ahly point 10
Simba 9
Soura 8
Vita 7
Kweli tupu. Pale Taifa AS VITA, hatoki piga ua. Simba ingekua safari imefika mwisho kama angemalizia ugenini. Haitakua kazi nyepesi,lakini Vita anafia Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?

Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.

Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Inatosha,maana kelele kibao mitaani, tukiwaambia underdog hawataki kusikia
 
Ili kundi anapita fc vita club na saura ngoja muone.
 
Wana yanga mnaweweseka sana. Ila mjue africa kila timu ina uwezo mkubwa wakushinda ikiwa nyumbani. Na rekodi ziko hivo. Simba mtake msitake inaenda robo fainali. Simba wanampiga AC VITA Nakufikisha point 9 alyaly anampiga soura na kufikisha point 10 hivyo simba ndio ina nafasi kubwa kuliko timu zote kundi hili. Yanga mko?
 
AS Vita akija DSM anatoa droo tu inamtosha kufuzu kwa kuwa alipiga goli 5 (head to head) na ndio decision criteria timu zikilinganisha points

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita akija anakula umeme wa Megawatts 3 mapema sana kwa mchina pale kutoka kwa kikosi kipana. Uzuri tushawapima kiwango chao, tutapanga safu upya kama wao AS Vita sisi ni SC Mkong'oto!
 
Mimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?

Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.

Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Mkuu! Nakupa Kongole kwa kutambua kua hii mechi itakua Finalist ya mwaka huu.
Yaani hii mechi itakua ngumu kama physics.
Mechi hii Ni ngumu ndani na nje ya uwanja...Kifupi Mimi kama mwana Simba natumaini timu yangu itashinda...ila sitaenda na matokeo uwanjani.
.Siku hiyo ntakua nakunywa supu tu nikisubiri kuona aina ya nyama zilizoko chini.
 
Mpaka wanyooke
tapatalk_1552250825856.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofurahisha hata wapenzi wa Chura wamesahau timu yao. Kazi kubwa imekuwa kumfuatilia mume wao kwenye CAF Champions League .Timu yao inacheza lakini hawana habari nayo.
Wamekuwa wachawi, watabiri, wanga na doomsayers.
SIMBA imewaathiri ubongo. Kila wakiamka ni Simba.
Timu yenu inahitaji michango. Au mmesahau mna timu Chura?
 
Back
Top Bottom