Simba tuliwapenda sana ila safari yenu hapa ndo mwisho.

Simba tuliwapenda sana ila safari yenu hapa ndo mwisho.

Mikia wanafuzu robo fainali..Taifa hatoki mtu
 
Simba wanapocheza mechi za ugenini huwa wanakua tofauti kabisa na pale wanapocheza uwanja wa Taifa. Wanapokua ugenini huwa wana zubaa sana na pia timu nzima kupoteana muda mwingi.

Wakibadilika, wanaweza kabisa kuchomoa goli walilofungwa na kuambulia walau sare.
 
Wawa mbona pasi zote anawapa maadui?
 
Waiter ongeza k- vant nyingine kubwa naona kuna mutu mzima anabakwa uku.
 
Khaa yani kumbe unateseka na simba,,yani simba kufanya vuzuri ww unakonda,,

Utashindwa mpaka kula kwa roho mbaya yako..
kandambili nyinyi mnataabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?

Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.

Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Nafasi ya Mshana Jr matatani
 
AS Vita akija DSM anatoa droo tu inamtosha kufuzu kwa kuwa alipiga goli 5 (head to head) na ndio decision criteria timu zikilinganisha points

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo rahisi hivyo. Kila team nyumbani imefanya vizuri. Pale Taifa hatoki mtu,mark my words. Utakuja kuniambia. Mwisho wa mzunguku,Simba 9,Al Ahaly 10. Mark my words.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom