Simba tuliwapenda sana ila safari yenu hapa ndo mwisho.

Kuelewa umeelewa lakini? tukutane saa sita usiku unipe mrejesho. Kama nakuona ulivyo fula kwa majonzi ulitaka waafrica wenzako wafungwe?

Huu sasa ubaguz. Kwa hyo Misri siyo Africa
 
Huu ndio ukweli wenyewe japo watu hawataki kuusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipoona umejiita Mzarendo nikajua ni zero brain...
 
Mbona una mtazamo hasi mleta uzi.Unafahamu faida za Simba kufika robo fainali kwa nchi?Nakwambia wewe siyo Mzalendo.Achaneni na mambo ya simba na yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo hovyo kabisa ww endesheni harambee changia timu ilipe mishahara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…