Sasa mbona hamkupata hata bao moja? asikuambie mtu mpira ni ushindi na ushindi ni magoli, lini mkono mtupu ukalambwa?Pamekuwa na lugha ya ukosefu wa Muunganiko lakini timu yetu imeweza kucheza vyema kiulinzi na hata kiushambuliaji
Mshukuru Mungu hata kwa hilo mliootea pambaaaaavuLazima uridhike kucheza na wanaojua, kajitahidi sana kupigwa goli 1 ni ushindi kwake
Yanga kanifadhaisha sana timu mbovu kama nyau kushindwa ilalua hata 4-1
Tunamshukuru sana ila sio la kuotea kwa tulivyo upigwa mwingi ilikuwa lazima ufeMshukuru Mungu hata kwa hilo mliootea pambaaaaavu
Bando na Sakho ..labda watafaa humu ndaniMugalu anakosa magoli sana yule jamaa.
Banda na Sakho wamecheza vizuri, Kanoute ni balaa apewe ulinzi.
Duncan Nyoni ni mtu sana sijui kwa nini hawajamuingiza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatimae mikia FC wameridhishwa!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na hiki ndo kitaendelea kuwagharimuSimba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off