Simba tumefungwa lakini nimeridhika

Unamuona huyu na nduguze OKW BOBAN SUNZU na Gentamycin ! Zawadi yenu hii hapa Mightier

Cc: Shadeeya
 

Attachments

  • IMG_4244.MP4
    5.2 MB
Kocha aliingia na mentality ya kujilinda formation aliyotumia na kuanza na HD siku zote HD km alivyo BM 3 wazuri wakiingia second half Ila anatatizo km la Muzamiru kupoteza Sana mipira kwa Mugalu kocha sijui anamkumbuka huyu zaidi anamuacha kagere huyu alitakiwa awe anafuata tena awe double striker mbele

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
asante sana mimi nilikuwa mmoja wa watu tuliopinga sana Ile biashara kichaa ya Simba kuuza key players wawili alafu huna wachezaji wa kuwareplace wa viwango bora vile.Timu inayotaka mafanikio ya makombe haiuzi top key players wake ovyo.Simba ilitakiwa iwape mikataba mikubwa Chama na Miquissone kwa gharam yoyote kama walikuwa wanahitaji kushinda games za Ligi na CAf champions league.Biashara kichaa imeleta matokeo uwanjani leo.
 
Mmm
 
Kuhusu chama, tumefungwa na Yanga Chama akiwepo
Mkuu naona hukunielewa nilivyomzungumzia Chama na sio wewe tu. wapo na wengine humu nao wamenishukia kama mwewe.

Sijasema tumefungwa na Yanga sababu Chama hayupo, najua tumefungwa na Yanga pia hata wakati Chama yupo.

Nilichokisema ambacho Simba imekimisi kwa sasa ni ule uwezo wa kucreate clear chance kama alivyokuwa anafanya Chama. Siku za nyuma tulifungwa na Yanga sawa wakati Chama yupo lakini Simba ndio iliongoza kwa kula kitu ikiwemo kucreate nafasi za kutosha, tofauti na juzi ambapo Yanga walitutesa mno, ilifika wakati walipiga pass kama 22 sisi hatukugusa kitu achilia mbali yanga walitengeza nafas za kutosha kuliko sisi, Manula aliokoa michomo mingi kuliki kipa wa yanga.

Yaani sijawahi kuona yanga inaifunga Simba halafu badala ya kwenda kuzuia eti wanaendelea kutushambulia na kutupigia pass hiyo sijawahi kuioma enzi ya Chama, nakumbuka mechi ya mwisho Yanga kutufunga sisi ilikuwa ni moja bila kwenye ligi mwaka jana lakin jinsi tulivyo wasaka waliomba mpira huishe.

Tatizo la Simba kutokutengeza nafas za kutosha nililiona pia kweye mechi dhidi ya Mazembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…