samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
short on target
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
short on target
Unamuona huyu na nduguze OKW BOBAN SUNZU na Gentamycin ! Zawadi yenu hii hapa MightierLeo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0.
Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa bayo Wachezaji wetu. Timu ilitengeneza nafasi za kutosha jambo ambalo ndilo la kuangalia.
Pamekuwa na lugha ya ukosefu wa Muunganiko lakini timu yetu imeweza kucheza vyema kiulinzi na hata kiushambuliaji
Kocha aliingia na mentality ya kujilinda formation aliyotumia na kuanza na HD siku zote HD km alivyo BM 3 wazuri wakiingia second half Ila anatatizo km la Muzamiru kupoteza Sana mipira kwa Mugalu kocha sijui anamkumbuka huyu zaidi anamuacha kagere huyu alitakiwa awe anafuata tena awe double striker mbeleLeo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0.
Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa bayo Wachezaji wetu. Timu ilitengeneza nafasi za kutosha jambo ambalo ndilo la kuangalia.
Pamekuwa na lugha ya ukosefu wa Muunganiko lakini timu yetu imeweza kucheza vyema kiulinzi na hata kiushambuliaji
asante sana mimi nilikuwa mmoja wa watu tuliopinga sana Ile biashara kichaa ya Simba kuuza key players wawili alafu huna wachezaji wa kuwareplace wa viwango bora vile.Timu inayotaka mafanikio ya makombe haiuzi top key players wake ovyo.Simba ilitakiwa iwape mikataba mikubwa Chama na Miquissone kwa gharam yoyote kama walikuwa wanahitaji kushinda games za Ligi na CAf champions league.Biashara kichaa imeleta matokeo uwanjani leo.Tatizo ni kocha na Mugalu wake, utadhani kamroga. Hafanyi lolote ndani na hamfanyii sub.
Wakati tunawa-miss Chama na Konde Boy, pengo lingine ni la Sven ambalo haliongelewi sana. Tangu Sven aondoke kiwango cha uchezaji kimeshuka sana na kutegemea sana kujaza ma-striker mfumo ambao tija yake ndogo kwani hawako clinical na hupoteza nafasi nyingi za magoli.
Bila kupepesa macho, Gomes hatufai Simba na mwaka huu hatuvuki makundi. Wanasema mpira ni biashara matokeo yake ndio haya. Kwa mimi nasema mpira ni wachezaji. Biashara haichezi mpira. Leo hii timu aliyokwenda Chama wakisema turudishieni pesa yetu na mumchukue Chama wenu, wana Simba wengi kama sio wote watasema tupeni Chama wetu. Biashara tulifanya lakini timu tuliiharibu. Afadhali tungekomaa na Chama, Miqueson aende. Pengo la Chama litatukaa vichwani kwa muda mrefu sana na hasa ukizingatia kiuwezo Bwalya ni kama nusu ya Chama.
Mwaka huu Simba itabidi ijihadhari sana kwani kila timu itakuja imepania kwa kudhani kuwa Simba sasa ni rahisi kufungika kutokana na kutokuwepo kwa wachazaji hao wawili.
Kwa mtazamo wangu mimi, ubingwa mwaka huu ni 40% Simba, 30% Yanga na 30% Azam. Na point za ubingwa mwaka huu hazitovuka hamsini kwa timu yoyote ile na kutakuwa na funga nikufunge nyingi tu msimu huu na ubingwa utapatikana katika mechi mbili za mwisho na sio kama tulivyozoea mechi tano au sita kabla. Nauona ushinfani wa nguvu msimu huu.
MmmLeo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0.
Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa bayo Wachezaji wetu. Timu ilitengeneza nafasi za kutosha jambo ambalo ndilo la kuangalia.
Pamekuwa na lugha ya ukosefu wa Muunganiko lakini timu yetu imeweza kucheza vyema kiulinzi na hata kiushambuliaji
Mkuu naona hukunielewa nilivyomzungumzia Chama na sio wewe tu. wapo na wengine humu nao wamenishukia kama mwewe.Kuhusu chama, tumefungwa na Yanga Chama akiwepo