Simba tumefungwa lakini nimeridhika

Simba tumefungwa lakini nimeridhika

Hakika,nafasi walizotengeneza Simba zilitosha kabisa kupata hata goli mbili au zaidi lakini jitu kubwa Mugalu limefanya fyongo sana.
Simba itafanya vizuri ndani na nje,kikosi ni kizuri na kitafika mbali hata kimataifa.
Maingizo mapya Sakho,Kanuote na Banda wameonyesha perfomance nzuri sana.
 
Tukubali tu ukwel kwa mechi ya leo Simba tulizidiwa mbali Sana na yanga ,huu msimu ni wa yanga km watajituma maana safar hii Wana kila kitu hasa viungo wao bangala na aucho plus mayele.

Simba show off nyingi Sana mtu unakaa na mpira badala ya kutoa pass ,Leo lwanga kazingua Sana, kapombe nae kaharibu Sana tu .
Hii mechi ilikuwa inamhusu Sana Morrison pengine angefos matokeo
 
Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0.

Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa bayo Wachezaji wetu. Timu ilitengeneza nafasi za kutosha jambo ambalo ndilo la kuangalia.

Pamekuwa na lugha ya ukosefu wa Muunganiko lakini timu yetu imeweza kucheza vyema kiulinzi na hata kiushambuliaji
hivi mkuu ukikosa ubingwa na kitolewa kwenye club bingwa mapema pia utasema hivyo
 
Tatizo ni kocha na Mugalu wake, utadhani kamroga. Hafanyi lolote ndani na hamfanyii sub.
Wakati tunawa-miss Chama na Konde Boy, pengo lingine ni la Sven ambalo haliongelewi sana. Tangu Sven aondoke kiwango cha uchezaji kimeshuka sana na kutegemea sana kujaza ma-striker mfumo ambao tija yake ndogo kwani hawako clinical na hupoteza nafasi nyingi za magoli.
Bila kupepesa macho, Gomes hatufai Simba na mwaka huu hatuvuki makundi. Wanasema mpira ni biashara matokeo yake ndio haya. Kwa mimi nasema mpira ni wachezaji. Biashara haichezi mpira. Leo hii timu aliyokwenda Chama wakisema turudishieni pesa yetu na mumchukue Chama wenu, wana Simba wengi kama sio wote watasema tupeni Chama wetu. Biashara tulifanya lakini timu tuliiharibu. Afadhali tungekomaa na Chama, Miqueson aende. Pengo la Chama litatukaa vichwani kwa muda mrefu sana na hasa ukizingatia kiuwezo Bwalya ni kama nusu ya Chama.
Mwaka huu Simba itabidi ijihadhari sana kwani kila timu itakuja imepania kwa kudhani kuwa Simba sasa ni rahisi kufungika kutokana na kutokuwepo kwa wachazaji hao wawili.
Kwa mtazamo wangu mimi, ubingwa mwaka huu ni 40% Simba, 30% Yanga na 30% Azam. Na point za ubingwa mwaka huu hazitovuka hamsini kwa timu yoyote ile na kutakuwa na funga nikufunge nyingi tu msimu huu na ubingwa utapatikana katika mechi mbili za mwisho na sio kama tulivyozoea mechi tano au sita kabla. Nauona ushinfani wa nguvu msimu huu.
 
Tukubali tu ukwel kwa mechi ya leo Simba tulizidiwa mbali Sana na yanga ,huu msimu ni wa yanga km watajituma maana safar hii Wana kila kitu hasa viungo wao bangala na aucho plus mayele.

Simba show off nyingi Sana mtu unakaa na mpira badala ya kutoa pass ,Leo lwanga kazingua Sana, kapombe nae kaharibu Sana tu .
Hii mechi ilikuwa inamhusu Sana Morrison pengine angefos matokeo
Unaposema Yanga walituzidi ukiachana na goli walituzidi nini? Possession tumewazidi, nafasi za kutengeneza tumewazidi, hii lugha ya kwamba tulizidiwa mnaitoa wapi?
 
happydekosimba_tz_20210925_225034_0.jpg

Tuzungumze hapo Simba walizidiwa wapi?
 
Tatizo ni kocha na Mugalu wake, utadhani kamroga. Hafanyi lolote ndani na hamfanyii sub.
Wakati tunawa-miss Chama na Konde Boy, pengo lingine ni la Sven ambalo haliongelewi sana. Tangu Sven aondoke kiwango cha uchezaji kimeshuka sana na kutegemea sana kujaza ma-striker mfumo ambao tija yake ndogo kwani hawako clinical na hupoteza nafasi nyingi za magoli.
Bila kupepesa macho, Gomes hatufai Simba na mwaka huu hatuvuki makundi. Wanasema mpira ni biashara matokeo yake ndio haya. Kwa mimi nasema mpira ni wachezaji. Biashara haichezi mpira. Leo hii timu aliyokwenda Chama wakisema turudishieni pesa yetu na mumchukue Chama wenu, wana Simba wengi kama sio wote watasema tupeni Chama wetu. Biashara tulifanya lakini timu tuliiharibu. Afadhali tungekomaa na Chama, Miqueson aende. Pengo la Chama litatukaa vichwani kwa muda mrefu sana na hasa ukizingatia kiuwezo Bwalya ni kama nusu ya Chama.
Mwaka huu Simba itabidi ijihadhari sana kwani kila timu itakuja imepania kwa kudhani kuwa Simba sasa ni rahisi kufungika kutokana na kutokuwepo kwa wachazaji hao wawili.
Kwa mtazamo wangu mimi, ubingwa mwaka huu ni 40% Simba, 30% Yanga na 30% Azam. Na point za ubingwa mwaka huu hazitovuka hamsini kwa timu yoyote ile na kutakuwa na funga nikufunge nyingi tu msimu huu na ubingwa utapatikana katika mechi mbili za mwisho na sio kama tulivyozoea mechi tano au sita kabla. Nauona ushinfani wa nguvu msimu huu.
Kwani hatujawahi kufungwa huyo Chama na Miqueson wakiwepo?

Team imetengeneza nafasi nyingi bila Chama na Miqueson hilo tu linatosha kuonesha kocha katengeneza timu nzuri sasa ulitaka yeye akamshike Mugalu afunge?

Simba is the better team , wakati tunawachapa akina Vita na Aly Ahly Yanga walitupiga 1-0 na ubovu wao.Sioni cha kuanza kulialia kama watoto sijui kocha mara Chama , hivi umejiuliza ikiwa nafasi tulizopata zingekuwa magoli magoli yangefungwa mangapi?

Mimi naona we are still a best team in Tz kufungwa ni ishu ya kawaida tu mbona Man city alichukua EPL mbele ya Chelsea na bado akachapwa na Chelsea hiyohiyo fainali ya UEFA?

Tatizo wengi wenu mnaamini tu timu ikishinda mechi basi timu iliyofungwa ni mbovu.
 
Unaposema Yanga walituzidi ukiachana na goli walituzidi nini? Possession tumewazidi, nafasi za kutengeneza tumewazidi, hii lugha ya kwamba tulizidiwa mnaitoa wapi?
Faulo zimetusaidia sana, inawezekana kocha wetu aliwaambia wachezaji ili tupunguze idadi ya magoli lazima tucheze rafu la sivyo kilio kingekuwa kikubwa
 
Unaposema Yanga walituzidi ukiachana na goli walituzidi nini? Possession tumewazidi, nafasi za kutengeneza tumewazidi, hii lugha ya kwamba tulizidiwa mnaitoa wapi?
Hawa ni mashabiki njaa brother [emoji23][emoji23] kwao kushinda mechi moja inamaanisha timu iliyoshinda ndiyo bora for everything

Tuzidi kuwapa elimu
 
Kwani hatujawahi kufungwa huyo Chama na Miqueson wakiwepo?

Team imetengeneza nafasi nyingi bila Chama na Miqueson hilo tu linatosha kuonesha kocha katengeneza timu nzuri sasa ulitaka yeye akamshike Mugalu afunge?

Simba is the better team , wakati tunawachapa akina Vita na Aly Ahly Yanga walitupiga 1-0 na ubovu wao.Sioni cha kuanza kulialia kama watoto sijui kocha mara Chama , hivi umejiuliza ikiwa nafasi tulizopata zingekuwa magoli magoli yangefungwa mangapi?

Mimi naona we are still a best team in Tz kufungwa ni ishu ya kawaida tu mbona Man city alichukua EPL mbele ya Chelsea na bado akachapwa na Chelsea hiyohiyo fainali ya UEFA?

Tatizo wengi wenu mnaamini tu timu ikishinda mechi basi timu iliyofungwa ni mbovu.
Mashabiki wa bongo utawaweza ndugu.Ujuaji mwingi alafu hakuna kitu.Ligi ndo kwanza inaenda kuanza mtu anaongea maneno mengi utadhani timu inashuka daraja.
 
Ficha ujinga wako!

Angalia idadi za faulo zilizochezwa
Wewe ndo mjinga ,maana unaamini bila faulo Simba angefungwa nyingi kana kwamba kila faulo kwenye mpira inazaa goli wewe ni mjinga pure

So unamaanisha Yanga angeshinda goli 26-Simba 18

Ujinga kazi kweli hehehe
 
Sikilizeni nyinyi wake zangu.

Timu imecheza vizuri. Jicho LA tatu linanambia kuanzia viongozi na baadhi ya wachezaji hawakuupa uzito huu mchezo.

Ni kama bado mwalimu anatafuta combination na haukuwa na uzito halisi sijui kwa nini?

Tulieni mtafakari akina Kibu, mkude, Morrison na wengine. Kwa mchezo was Leo kukosekana na maingizo Yale ya mabadiliko.

Kumekosekana mnyumbuliko na utashi lutokana na umuhimu wa game na matakwa ya waendesha ligi.

Sisi tunaojua siasa za mpira tunajua kwa mini Leo ilikuwa lazima Simba ifungwe.

Ufupi wa maneno. Protocol I zimelazimisha Simba ifungwe na simba yenyewe imeridhika.
Usiniulize kwa nini
 
Back
Top Bottom