Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao.

Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee.

Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5 limedundia nje.

Na sisi tunakubali yale ni makosa ya kibinadamu ...hatukatai ila kumbuken na nyie refa aliamuru Kona Mapinduzi wakat sio sahihi.

Naomba tuanze mapema kujadili haya magoli ya YANGA maana sisi tumejiweka kuzisemea kila Team zikifungwa na yanga Mara yanga katoa bahasha kwa Refa mara kwa Team.

#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE
 
JamiiForums-539638265.jpg
 
Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kua na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao.

Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee...
😂😂😂😂
 
Mkuu watu wanafikiria draw ya kesho champions league wewe unaleta ushuzi wa Yanga na Ihefu hii game si ilishachezwa toka juzi leo yalikuwa maigizo huna habari..
 
Back
Top Bottom