THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #21
Ungeweka hapa matokeo kama ilikua imechezwa toka juzi au ungebeti ukala hela kama ulijua matokeo.Mkuu watu wanafikiria draw ya kesho champions league wewe unaleta ushuzi wa Yanga na Ihefu hii game si ilishachezwa toka juzi leo yalikuwa maigizo huna habari..
Una mental case Mkuu, endapo unashindwa kucontrol Eggo na Emotional yako totaly wewe sio binadamu kamili. Ulichojibu tayari kinatafsiri wewe ni mtu wa ina gani? Na unapaswa kujibiwa na Mtu wa karba ipi na hapo ndipo ule usemi wa Lucy Ema na Manara Jr unajidhihirisha.Kama haijakusisimua njoo huku Bon'goankusweke ndani ndani nikusisimue
Siingilii ila jamaaa kakujibu coz we mwenyewe umetoa zihaka mwishon....je we kwenye kutoa jibu lako kwa Uzi wangu ulitumia Akili au EGO coz haujaja na Facts bali blabla..usitake huruma na kuonekana we mstaarabu sana wakat we ulijibu kitu kibaya.Una mental case Mkuu, endapo unashindwa kucontrol Eggo na Emotional yako totaly wewe sio binadamu kamili. Ulichojibu tayari kinatafsiri wewe ni mtu wa ina gani? Na unapaswa kujibiwa na Mtu wa karba ipi na hapo ndipo ule usemi wa Lucy Ema na Manara Jr unajidhihirisha.
Kwahiyo mlivyofikiria kuhusu droo ya kesho mkapata jibu gani?Mkuu watu wanafikiria draw ya kesho champions league wewe unaleta ushuzi wa Yanga na Ihefu hii game si ilishachezwa toka juzi leo yalikuwa maigizo huna habari..
Ila Maswali Mengine sa unamuuliza mtu mbumbumbu atakujibu Je Mkuu? Acha bas😂😂😂Kwahiyo mlivyofikiria kuhusu droo ya kesho mkapata jibu gani?
Ule ni Mpiraa au FUTUHIII? mechi imekosa msisimko, soon Ligi itakosa Mvuto tunarudi kuleeeeeee!
anyway wenye akili ni wawili tu huwezi kuelewa madhara ya kinachofanyika.
Sababu yanga ni bora tukubali mwanalunyasi mwenzanguUle ni Mpiraa au FUTUHIII? mechi imekosa msisimko, soon Ligi itakosa Mvuto tunarudi kuleeeeeee!
anyway wenye akili ni wawili tu huwezi kuelewa madhara ya kinachofanyika.
Je mechi ya November 5 kati ya Yanga vs Simba ilikusisimua?Ule ni Mpiraa au FUTUHIII? mechi imekosa msisimko, soon Ligi itakosa Mvuto tunarudi kuleeeeeee!
anyway wenye akili ni wawili tu huwezi kuelewa madhara ya kinachofanyika.
🤣🤣🤣 Yanga Babalao, Makolo hayana timu tena, huo ndio Ukweli...ligi ni yetu tena mwaka huu...
Futuhi wote wamepigwa 5 na Yanga, including 5imbaUle ni Mpiraa au FUTUHIII? mechi imekosa msisimko, soon Ligi itakosa Mvuto tunarudi kuleeeeeee!
anyway wenye akili ni wawili tu huwezi kuelewa madhara ya kinachofanyika.
Utakufa mdomo wazi utupe shida kukufumba..!!Mkuu watu wanafikiria draw ya kesho champions league wewe unaleta ushuzi wa Yanga na Ihefu hii game si ilishachezwa toka juzi leo yalikuwa maigizo huna habari..
Akili za kikumah hizi.Utakufa mdomo wazi utupe shida kukufumba..!!
@ModeratorAkili za kikumah hizi.
Vipi babu na majina ya watu!?Kama haijakusisimua njoo huku Bon'goankusweke ndani ndani nikusisimue
Mjiandae kwa wiki kwenye raundi ya pili, ili kuwakata kabisa hivi vilimi limi vyenu.Ule ni Mpiraa au FUTUHIII? mechi imekosa msisimko, soon Ligi itakosa Mvuto tunarudi kuleeeeeee!
anyway wenye akili ni wawili tu huwezi kuelewa madhara ya kinachofanyika.
Maoni yenu ndio wakat huuGoli la Maxi vipi wakuu???
kama una familia nawahurumia sana unakuta unategemewa kabisa kazi ipo..Ila Maswali Mengine sa unamuuliza mtu mbumbumbu atakujibu Je Mkuu? Acha bas😂😂😂
Pole Mkuu, ila elewa Sio kila mtu anategemewa.kama una familia nawahurumia sana unakuta unategemewa kabisa kazi ipo..