Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.

Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni bango tosha, huyu Mo analipa kiasi gani kwa haya matangazo ambayo ni makubwa hadi mgongoni?

Hapa ndo Magungu anapofeli wataruhusuje mabango kwenye jezi kiàsi hicho? Kwa Azam ni sawa kwasababu ni timu ya mtu , je kwa Simba? Ina maana hamna makubaliano kiasi kwamba Mo hadi kwenye jezi anachora kote? Haya matangazo analipa kiasi gani?

20231122_204233.jpg
20231122_204101.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiulete utani jibu swali kila siku mkono mkono kwani kwenye soka ni kitu kigeni mbona mmekuwa washamba hivi hadi mnasahau mechi inayofuata

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe haujauona mkono kwani au wewe sio mwana Simba? 🤪 Kuna mkono kwenye tangazo la chini na mkono ule unaonekana unagusa tako za kila mwanasimba atakaevaa Jezi 😆


Angalia tangazo la chini huo mkono umegusa nini?
IMG-20231122-WA0079.jpg
 
Back
Top Bottom