econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.
Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni bango tosha, huyu Mo analipa kiasi gani kwa haya matangazo ambayo ni makubwa hadi mgongoni?
Hapa ndo Magungu anapofeli wataruhusuje mabango kwenye jezi kiàsi hicho? Kwa Azam ni sawa kwasababu ni timu ya mtu , je kwa Simba? Ina maana hamna makubaliano kiasi kwamba Mo hadi kwenye jezi anachora kote? Haya matangazo analipa kiasi gani?
View attachment 2822001View attachment 2822002
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hata halipi chochote.