Sema lile tangazo la mgongoni kwa chini lina mkono ule umeuona? 🤪matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.
Usiulete utani jibu swali kila siku mkono mkono kwani kwenye soka ni kitu kigeni mbona mmekuwa washamba hivi hadi mnasahau mechi inayofuataSema lile tangazo la mgongoni kwa chini lina mkono ule umeuona? [emoji2957]
Wewe haujauona mkono kwani au wewe sio mwana Simba? 🤪 Kuna mkono kwenye tangazo la chini na mkono ule unaonekana unagusa tako za kila mwanasimba atakaevaa Jezi 😆Usiulete utani jibu swali kila siku mkono mkono kwani kwenye soka ni kitu kigeni mbona mmekuwa washamba hivi hadi mnasahau mechi inayofuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu aliwahi kushauri Sheria Ngowi akamatwe na polisi ili ahojiwe kwa nini kila siku anawaumiza Simba kwenye swala la jezi.Jezi za Yanga daah huyu mbunifu noma Ila Simba duuh 😆😆😆🤪
na pesa zake?Mkinga au mbena hata umtume jeans anakuletea lonya, Sandaland apokonywe hiyo kazi.
Tuweke na nyuma ikionekana booonge la mo foundation. Ya hata huko nje watashangaa jezi ni Mo, Mo tu. Utafikiri ma sponsor wengine hawataki kuifadhiri timuUkiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini...
Muda utapofika wasirenew mkataba nae.na pesa zake?
Hiyo chini ya mgongo umeona hii jezi ya leo? Bonge la bango,haya ni matangazo siyo jeziTuweke na nyuma ikionekana booonge la mo foundation. Ya hata huko nje watashangaa jezi ni Mo,Mo tu. Utafikiri ma sponsor wengine hawataki kuifadhiri timu
Geuza nyuma uone, umeangalia hiyo jezi ina matangazo mangapi?Vitu vingine bwana sasa hzo jezi za simba zina makosa gani
Kausha bac mwanang, mbona majungu hivo?Tano na yanga nyie.
fukuza kocha nyie.
mashabiki kususia mechi nyie.
taree 25 mnapigwa tena nyie
jezi nyie.
ujinga nyie.
sasa sisi tuwasaidiaje?
Kwahiyo wenye matangazo machache hela zimewekwa ndogo?Matangazo si hela zimewekwa..? Ama