Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Jersey yote ina matangazo ya Mo
1MO EXTRA
2MO EXTRA
3 MO INSUARANCE
4MO SPORTS
5 MO CLEAN
6 MO FOUNDATION

Huyu choli choli analipa kiasi gani?

Ila Mwamedi anapenda sifa sana huyu anaweza kuwa analipa ili aandikwe yeye bilionea
 
Kama kitu hujui kina maana gani ni bora kuuliza kuliko kukurupuka, kwamba hujui kwa nini matangazo yako kwenye jezi 🤔🤔 hata yangejaa jezi yote shida iko wapi 🤔🤔 au hujui kama matangazo ni pesa 🤔🤔 hivi jezi za timu zote ulaya umeshaziona kweli🤔🤔 jezi ya Al Ahly umeshaiona🤔🤔 tulia utopolokwinyo
 
Jersey yote ina matangazo ya Mo
1MO EXTRA
2MO EXTRA
3 MO INSUARANCE
4MO SPORTS
5 MO CLEAN
6 MO FOUNDATION

Huyu choli choli analipa kiasi gani?

Ila Mwamedi anapenda sifa sana huyu anaweza kuwa analipa ili aandikwe yeye bilionea
Mkuu ndo maana nikauliza hayo matangazo yote analipia?inawezekana Bil 20 kaweka sawa lakini matangazo kama hayo anayafanya free ,na ingekuwa mdhamini mwingine je? Matangazo ya Mo yanafunika hata ya MBET ya kifuani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ni Rais wa Simba ,mwekezaji, je hayo matangazo yote anayalipia bila chupri chupri? Halafu inakwaje aje kusema anapata hasara Simba kama hayo matangazo yote anayafanya



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…