YANGA wanaturoga sana ndio maana mechi saba sasa hatujashindaHiyo namba mbili inaonesha mnategemea Sana ndumba kuliko jitihada na ubora wa wachezaji wenu
Ingewekwa namba moja bosHiyo namba mbili inaonesha mnategemea Sana ndumba kuliko jitihada na ubora wa wachezaji wenu
Mikia FC kuroga jadi yao, waliwahi kuwasha moto mchana kweupe huko Sauzi.Hivi kwanini kila mwanasimba anaeandika mada kuhusu mechi lazima azungumzie uchawi? Kwanini mashabiki wa team yetu wanaamini sana ushirikina?
Sijaona kabisa wapinzani wetu wakiandika mada za kishirikina kuhusu hii game. Daah kuna vitu vingine ni aibu hata kuviongea, tunajiaibisha
Katika harakati za kutafuta timu nne ili na nyie vibonde mshiriki kimataifaMikia FC kuroga jadi yao, waliwahi kuwasha moto mchana kweupe huko Sauzi.
Kwa nini msirudishe tena basi lenu kinyume nyume ili na sisi tuwafunge tugoli tutatu. Au ile offer ilikuwa ni kwa Waarabu tu!Simba tufanye mambo haya;
1. Kudhibiti kambi yetu.
2. Kuhakikisha uchawi wa Yanga tunautegua.
3. Viongozi wa Simba wawe na ushirikiano.
Mwisho, Simba tukifanikiwa kudhibiti katikati na pembeni tunashinda. MHM simba tuwe na discipline ya kucheza katikati pia kuhakikisha hatuachi space kubwa kwasababu Yanga wanapiga wengi kwa mipira ya mbali.
Tuhakikishe Aziz Ki hatumpi nafasi ya kupiga hata dakika moja.