Simba tunaweza kabisa kuwafunga Yanga

Simba tunaweza kabisa kuwafunga Yanga

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Simba tufanye mambo haya;

1. Kudhibiti kambi yetu.
2. Kuhakikisha uchawi wa Yanga tunautegua.
3. Viongozi wa Simba wawe na ushirikiano.

Mwisho, Simba tukifanikiwa kudhibiti katikati na pembeni tunashinda. MHM simba tuwe na discipline ya kucheza katikati pia kuhakikisha hatuachi space kubwa kwasababu Yanga wanapiga wengi kwa mipira ya mbali.

Tuhakikishe Aziz Ki hatumpi nafasi ya kupiga hata dakika moja.
 
Hivi kwanini kila mwanasimba anaeandika mada kuhusu mechi lazima azungumzie uchawi? Kwanini mashabiki wa team yetu wanaamini sana ushirikina?

Sijaona kabisa wapinzani wetu wakiandika mada za kishirikina kuhusu hii game. Daah kuna vitu vingine ni aibu hata kuviongea, tunajiaibisha
 
EADC454A-7822-4104-8563-D72A942A41ED.jpeg
 
Mimi ni utopolo lia lia. Nasema hivi unbeaten morale ya Yanga ndio Siri kubwa , hata ukitangulia kufunga goli litarudi tu. Uchawi Yanga ni sehemu ya ushindi pia Hilo linajulikana!

Nina uhakika Yanga watafunga goli 3 na Simba watapata goli moja sababu Yanga wanataka kubeba kombe mgongoni mwa Simba.

Mchezaji atakaesumbua sana Simba ni Mudathir Yahya Abbass anatakiwa acheze mwanzo mwisho ni kivuruge!
 
utopolo fc inapigika 2-0...................Kibu Denis na Saidooooo
 
Hivi kwanini kila mwanasimba anaeandika mada kuhusu mechi lazima azungumzie uchawi? Kwanini mashabiki wa team yetu wanaamini sana ushirikina?

Sijaona kabisa wapinzani wetu wakiandika mada za kishirikina kuhusu hii game. Daah kuna vitu vingine ni aibu hata kuviongea, tunajiaibisha
Mikia FC kuroga jadi yao, waliwahi kuwasha moto mchana kweupe huko Sauzi.
 
Simba tufanye mambo haya;

1. Kudhibiti kambi yetu.
2. Kuhakikisha uchawi wa Yanga tunautegua.
3. Viongozi wa Simba wawe na ushirikiano.

Mwisho, Simba tukifanikiwa kudhibiti katikati na pembeni tunashinda. MHM simba tuwe na discipline ya kucheza katikati pia kuhakikisha hatuachi space kubwa kwasababu Yanga wanapiga wengi kwa mipira ya mbali.

Tuhakikishe Aziz Ki hatumpi nafasi ya kupiga hata dakika moja.
Kwa nini msirudishe tena basi lenu kinyume nyume ili na sisi tuwafunge tugoli tutatu. Au ile offer ilikuwa ni kwa Waarabu tu!
 
Back
Top Bottom