Kwani ni mara ngp simba inagomea mechi sababu ya viporo vya yanga...?mimi habari ya kaandika muda gani.. Mechi gani?mkuu ngumu sn...labda ningekuwa nakodisha baiskeli...ningekuwa na uzoefu huo
Hebu tutajie viporo hivyo vya game 5 ambavyo Yanga ilishawahi kuwa navyo!?
Ushahidi upi..unaoutaka..wa MIAMALA..AU UPI
Kuna ushahidi wowote unaothibitisha madai yako? Au ndoto ambazo amekuwa ameziota Usiku hans pope na wewe ndio unatembe nazo?
Una lolote la kuthibitisha hilo uliamini alo?
Ushahidi upi..unaoutaka..wa MIAMALA..AU UPI
Kwani ni mara ngp simba inagomea mechi sababu ya viporo vya yanga...?mimi habari ya kaandika muda gani.. Mechi gani?mkuu ngumu sn...labda ningekuwa nakodisha baiskeli...ningekuwa na uzoefu huo
Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...hapa kati mliyumba tajiri alikuwa ndani...mkawa hamna pesa za kununuwa..now MIAMALA ya TIGO PESA inaendelea..baada ya yeye kutoka JELA....au unataka ushahidi upi labda?figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa
Ushahidi wowote unaoweza kuthibitisha kinaga ubaga ulicho kisema..
Namaanisha "Ushahidi Wowote".! Unaonekana Kama Hauna ushahidi wowote na pengine unatumia ramli kufanya bashiri ya mambo usiyo na hakika nayo..
hahaha we jamaa wewe! ni lini klabu yenu imegoma kuingia uwanjani kisa tu Yanga ana kiporo?
Mbona unaongea mambo ambayo hayapo? Mzima kweli mwenzetu.π
Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa
Au unataka ushahidi upi labda?
Kuna goli na mkono na kuukamata mpira kwa mkono na kuuweka ufunge..ni vitu viwili tofauti.. Tambwe alishika alakimbia nao akauweka chini akafunga...Huu ndio ushahidi wako? πππππππ
Kama kufunga goli kwa mkono ni ushahidi tosha wa kununua mechi tutakuwa hatuja kosea tukisema kuwa shirikisho la soka la Argentina lilitoa hongo kwa FIFA pale Maradona alipofunga bao la mkono dhidi ya Uingereza......si ndio...?!
..mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA...
... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa
Kuna goli na mkono na kuukamata mpira kwa mkono na kuuweka ufunge..ni vitu viwili tofauti.. Tambwe alishika alakimbia nao akauweka chini akafunga...
Sasa ni kipi kinachowafanya wanachama mumlambe miguu teja..kama sio kuzoea kununuwa?mara ngp mmekuwa mkichapana bakora pale jangwani?zile bakora zilikuwa za nn?tangu muwe na uhakika wa mechi za kununuwa now shwari kabisa...wewe angalia siku zote network ya tigo pesa ikiwa taabu. Na nyie hamfungi....wachezaji pinzani wanataka kuhakikishiwa miamala kwnz ndy wafungishe.ndy maana ushindi mwingi mnaupata kipindi cha pili...baada ya wachezaji kuhakikisha ongezeko la salio ktk simu zao....Hata mechi ya AZAM tunajuwa mlichofanya...kagera mmepeleka wazee kule na mbuzi na majogoo... Na waganga kibaoKabla ya ujio wa MANJI Yanga ilikuwa inapata ubingwa kwa kupora?
Kuna goli na mkono na kuukamata mpira kwa mkono na kuuweka ufunge..ni vitu viwili tofauti.. Tambwe alishika alakimbia nao akauweka chini akafunga...
Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...hapa kati mliyumba tajiri alikuwa ndani...mkawa hamna pesa za kununuwa..now MIAMALA ya TIGO PESA inaendelea..baada ya yeye kutoka JELA....au unataka ushahidi upi labda?figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa
Sasa ni kipi kinachowafanya wanachama mumlambe miguu teja..kama sio kuzoea kununuwa?...
Yaa.. tambwe alishika kwa mkono..akakimbia nao hatua kadhaa....halafu akafunga..sasa huoni kama ni kosa?au ilikuwa netball ile?sio football?
Nakuona ukipata tabu kujua nini maana ya bao la mkono.
Ngoja nikuelimishe kidogo kuhusu goli/bao la mkono.
........Bao/Goli la mkono linapatikana pale tu mpira ulioingia wavuni kutokea "mkononi".
au
......ni bao lililofungwa na mpira uliotoka moja kwamoja kutoka mkononi mwa mchezaji husika.
Bisha katika hili sasa.
Ndy nasema tambwe hakufunga kwa mkono...aliukamata mpira kwa mkono....akauweka chini akafunga... Au netball ile?hii post sijandika mimi, Umeandika wewe mwenyewe!
tangu muwe na uhakika wa mechi za kununuwa now shwari kabisa...wewe angalia siku zote network ya tigo pesa ikiwa taabu. Na nyie hamfungi..........
Ndy nasema tambwe hakufunga kwa mkono...aliukamata mpira kwa mkono....akauweka chini akafunga... Au netball ile?
Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...hapa kati mliyumba tajiri alikuwa ndani...mkawa hamna pesa za kununuwa..now MIAMALA ya TIGO PESA inaendelea..baada ya yeye kutoka JELA....au unataka ushahidi upi labda?figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa
Yaa.. tambwe alishika kwa mkono..akakimbia nao hatua kadhaa....halafu akafunga..sasa huoni kama ni kosa?au ilikuwa netball ile?sio football?
....Hata mechi ya AZAM tunajuwa mlichofanya...kagera mmepeleka wazee kule na mbuzi na majogoo... Na waganga kibao
..yaani mmewapa pesa kagera na pia hamuwaamini.... ndy kilichowafanya tff kuchezesha mechi ya simba j.pili...ili mpate nafasi ya kucheza mechi yenu na yetu...