Simba ubingwa wa point za rushwa haunogi chezeni mpira

Hebu tutajie viporo hivyo vya game 5 ambavyo Yanga ilishawahi kuwa navyo!?
Kwani ni mara ngp simba inagomea mechi sababu ya viporo vya yanga...?mimi habari ya kaandika muda gani.. Mechi gani?mkuu ngumu sn...labda ningekuwa nakodisha baiskeli...ningekuwa na uzoefu huo
 
Kuna ushahidi wowote unaothibitisha madai yako? Au ndoto ambazo amekuwa ameziota Usiku hans pope na wewe ndio unatembe nazo?

Una lolote la kuthibitisha hilo uliamini alo?
Ushahidi upi..unaoutaka..wa MIAMALA..AU UPI
 
Ushahidi wowote unaoweza kuthibitisha kinaga ubaga ulicho kisema..

Namaanisha "Ushahidi Wowote".! Unaonekana Kama Hauna ushahidi wowote na pengine unatumia ramli kufanya bashiri ya mambo usiyo na hakika nayo..
 
Kwani ni mara ngp simba inagomea mechi sababu ya viporo vya yanga...?mimi habari ya kaandika muda gani.. Mechi gani?mkuu ngumu sn...labda ningekuwa nakodisha baiskeli...ningekuwa na uzoefu huo

hahaha we jamaa wewe! ni lini klabu yenu imegoma kuingia uwanjani kisa tu Yanga ana kiporo?
Mbona unaongea mambo ambayo hayapo? Mzima kweli mwenzetu.😀
 
Ushahidi wowote unaoweza kuthibitisha kinaga ubaga ulicho kisema..

Namaanisha "Ushahidi Wowote".! Unaonekana Kama Hauna ushahidi wowote na pengine unatumia ramli kufanya bashiri ya mambo usiyo na hakika nayo..
Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...hapa kati mliyumba tajiri alikuwa ndani...mkawa hamna pesa za kununuwa..now MIAMALA ya TIGO PESA inaendelea..baada ya yeye kutoka JELA....au unataka ushahidi upi labda?figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa
hahaha we jamaa wewe! ni lini klabu yenu imegoma kuingia uwanjani kisa tu Yanga ana kiporo?
Mbona unaongea mambo ambayo hayapo? Mzima kweli mwenzetu.😀
 
Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa

Huu ndio ushahidi wako? 😀😀😀😀😀😀😀

Kama kufunga goli kwa mkono ni ushahidi tosha wa kununua mechi tutakuwa hatuja kosea tukisema kuwa shirikisho la soka la Argentina lilitoa hongo kwa FIFA pale Maradona alipofunga bao la mkono dhidi ya Uingereza......si ndio...?!
 
Au unataka ushahidi upi labda?

Ushahidi tunao utaka hapa ni miamala ya pesa zikionyesha Jina la mpokeaji (wa timu husika) na mtumaji ambaye ni Bw Yusuph Manji...!

Ukiweka ushahidi huo wa miamala hiyo yaTIGO PESA hapa NINAWAAHIDI kuwasaidia viongozi na klabu yenu kwa ujumla kulifikisha hili suala TAKUKURU mpaka kulisimamia pale MAHAKAMANI..?
 
Huu ndio ushahidi wako? 😀😀😀😀😀😀😀

Kama kufunga goli kwa mkono ni ushahidi tosha wa kununua mechi tutakuwa hatuja kosea tukisema kuwa shirikisho la soka la Argentina lilitoa hongo kwa FIFA pale Maradona alipofunga bao la mkono dhidi ya Uingereza......si ndio...?!
Kuna goli na mkono na kuukamata mpira kwa mkono na kuuweka ufunge..ni vitu viwili tofauti.. Tambwe alishika alakimbia nao akauweka chini akafunga...
 
Nakuona ukipata tabu kujua nini maana ya bao la mkono.
Ngoja nikuelimishe kidogo kuhusu goli/bao la mkono.

........Bao/Goli la mkono linapatikana pale tu mpira ulioingia wavuni kutokea "mkononi".

au

......ni bao lililofungwa na mpira uliotoka moja kwamoja kutoka mkononi mwa mchezaji husika.

Bisha katika hili sasa.
 
Kabla ya ujio wa MANJI Yanga ilikuwa inapata ubingwa kwa kupora?
Sasa ni kipi kinachowafanya wanachama mumlambe miguu teja..kama sio kuzoea kununuwa?mara ngp mmekuwa mkichapana bakora pale jangwani?zile bakora zilikuwa za nn?tangu muwe na uhakika wa mechi za kununuwa now shwari kabisa...wewe angalia siku zote network ya tigo pesa ikiwa taabu. Na nyie hamfungi....wachezaji pinzani wanataka kuhakikishiwa miamala kwnz ndy wafungishe.ndy maana ushindi mwingi mnaupata kipindi cha pili...baada ya wachezaji kuhakikisha ongezeko la salio ktk simu zao....Hata mechi ya AZAM tunajuwa mlichofanya...kagera mmepeleka wazee kule na mbuzi na majogoo... Na waganga kibao
..yaani mmewapa pesa kagera na pia hamuwaamini.... ndy kilichowafanya tff kuchezesha mechi ya simba j.pili...ili mpate nafasi ya kucheza mechi yenu na yetu...
 
Kuna goli na mkono na kuukamata mpira kwa mkono na kuuweka ufunge..ni vitu viwili tofauti.. Tambwe alishika alakimbia nao akauweka chini akafunga...

Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...hapa kati mliyumba tajiri alikuwa ndani...mkawa hamna pesa za kununuwa..now MIAMALA ya TIGO PESA inaendelea..baada ya yeye kutoka JELA....au unataka ushahidi upi labda?figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa

hii post sijandika mimi, Umeandika wewe mwenyewe!
 
Sasa ni kipi kinachowafanya wanachama mumlambe miguu teja..kama sio kuzoea kununuwa?...

Tunajua hamumpendi kwa sababu tangu awe mwenye kiti wa Yanga hamjawahi kuchukua ubingwa mara nyingi zaidi kuliko Yanga.
 
Nakuona ukipata tabu kujua nini maana ya bao la mkono.
Ngoja nikuelimishe kidogo kuhusu goli/bao la mkono.

........Bao/Goli la mkono linapatikana pale tu mpira ulioingia wavuni kutokea "mkononi".

au

......ni bao lililofungwa na mpira uliotoka moja kwamoja kutoka mkononi mwa mchezaji husika.

Bisha katika hili sasa.
Yaa.. tambwe alishika kwa mkono..akakimbia nao hatua kadhaa....halafu akafunga..sasa huoni kama ni kosa?au ilikuwa netball ile?sio football?
 
tangu muwe na uhakika wa mechi za kununuwa now shwari kabisa...wewe angalia siku zote network ya tigo pesa ikiwa taabu. Na nyie hamfungi..........

....zimepita almost saa mbili tangu nikuambie unipe huo ushahidi ambao utanisaidia hata mimi kwenda kuzifikisha Takukuru...

...nakuona unapotezea tu.

...fanya kama una screenshot basi hiyo miamala aliyoifanya Manji. 😀
 
Ndy nasema tambwe hakufunga kwa mkono...aliukamata mpira kwa mkono....akauweka chini akafunga... Au netball ile?

Mechi zote za yanga mnazonunuwa zinajulikana...hapa kati mliyumba tajiri alikuwa ndani...mkawa hamna pesa za kununuwa..now MIAMALA ya TIGO PESA inaendelea..baada ya yeye kutoka JELA....au unataka ushahidi upi labda?figisu za magoli ya mkono na off side... Pia ndiyo zenu...nani asiyewajuwa...mnapata ubingwa kwa KUNUNUWA... mkifika kwa muarabu 4 g mnapigwa

Kwa hivyo umeamua kubisha na post yako mwenyewe?
 
Yaa.. tambwe alishika kwa mkono..akakimbia nao hatua kadhaa....halafu akafunga..sasa huoni kama ni kosa?au ilikuwa netball ile?sio football?

swali ninalopenda ulijibu kwenye hio hoja yako ni;-

Je tambwe alifunga bao la mkono?

Quote hii post ukijibu NDIO/HAPANA
 
....Hata mechi ya AZAM tunajuwa mlichofanya...kagera mmepeleka wazee kule na mbuzi na majogoo... Na waganga kibao
..yaani mmewapa pesa kagera na pia hamuwaamini.... ndy kilichowafanya tff kuchezesha mechi ya simba j.pili...ili mpate nafasi ya kucheza mechi yenu na yetu...

HAHAHA we jamaa unanifurahisha...

kwa hivyo hata game ya Azam ambayo tuliowapiga KIMOJA CHA UKWEZI pale Taifa Manji kamtumia pesa BAKHRESA kupitia TIGO PESA?😀😀
 
Back
Top Bottom