KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
🤣🤣🤣🤣🤣mwanamke kazira anataka uwanja wake wanaume wanajikunja saiv kumfurahishandiyo ule uwanja wenu wa kumfariji Babra???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣mwanamke kazira anataka uwanja wake wanaume wanajikunja saiv kumfurahishandiyo ule uwanja wenu wa kumfariji Babra???
OKAY, SAWANa kuna Team kubwa tu zinashiliki ata champion league ila amiliki kiwanja chake
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
MKUU PUNGUZA SAUTI KALI SANAndiyo ule uwanja wenu wa kumfariji Babra???
Bc ucikosoeMIMI NA SIMBA WAPI NA WAPI SASA?
Simba hatupendi mambo marahisi hata hivyoSUALA LA UJENZI WA UWANJA SIO RAHISI KAMA INAVYOWEZEKANA, SIO KUKURUPUKA KISA TU BIBIE KANYIMWA SITI PALE VVIP
Tatizo lenu hamtaki kujifunza kutoka kwenu ,mwunawaona wazungu ndio wanaakili sana.. Kwangu mie tuwapongeze ssc kwa huu ujasiri baada ya kuwabeza. Unforturnately hata mabadiliko nyie mliwabeza then mkawaiga naona hata hili mtaichukuaNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Umejibiwa umehamisha goli eti kule ni Ulaya wakati hoja yako ya kwanza ilikuwa ni kuitumia Ulaya kama kivuli kwamba haijawahi kutokea Ulaya basi huku haiwezekaniKWA HIYO NDIO MNAFUATA NYAYO ZAO? KULE ULAYA HUKU BONGO
ANYWAYS TUSUBIRI
Yataiga kweli wala si utaniBila kuanza huwezi kumaliza.
Nasema na nasisitiza tena Utopolo wataiga muda sio mrefu.
Natunza hii kauli.
Mwanzo wanaanza hizo timu za ulaya zilikua zinajengewa kwa michango ya wananchi au wanachama na mashabiki. Usiangalie walipo leo angalia walipotoka. Ndio maana kule mashabiki wanaheshimiwa mnoNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
GSM stadium mtakubali au mtachimba maana mzigo anao wa kutoshaMmambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake
1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10
2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa miaka 3 - 10
3. Harambee mikoa yote Tanzania target M. 100 - 500
4. Michango ya Wanachama na wapenz wa timu
5. Mnada vitu mbalimbali vya simba , Jezi ya King kibaden , hussein Masha ,Matola etc
6. Kutoa motisha wale waliochangia kiasi kikubwa mf certifacate
7. Pesa ya maana ni kuweka sokoni Jina la Uwanja kwa mkataba wa miaka 3 - 10, mf, Chapashuka Stadium
NGUVU MOJA
Huo mkopo ungewasaidia kuulipa au unashauri wakope huku huhusiki kuwasaidia kulipa?Simba wangeingia contract ata na kampuni wakapewa mkopo au wakajengewa uwanja. Uwanja ukawa named kwa jina la kampuni kwa kipindi cha muda fulani.
Au waingie mkataba na kampuni mfano benki ikawapa mkopo au katika kila mauzo ya tiketi zao watachukua asilimia kadhaa kwa kipindi cha muda fulani.
Tunachanga ili na wewe kabwili uingie uwanja wa watu walioichangia simba upoOmba omba Fc, mnataka kuwachangisha watanzania ili Babra aweze kuingia uwanjani bila kufuata taratibu husika.
NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Huo mkopo ungewasaidia kuulipa au unashauri wakope huku huhusiki kuwasaidia kulipa?
Hivi kipi bora kujenga nyumba kwa pesa zako binafsi au za mkopo ?
Jibu swali
Duuh we jamaa, jamaa kauliza swali tofauti na jibu, aiseeeeKuna timu kubwa hazina uwanja
Ac Milan
Inter Milan
Bayern muchin
CSKA Moscow
Zenit St petersburg