Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Naam ,tuwape elimu watu , na tuliowahi kujenga tunajua kama hujaanza unaweza kumiliki hata milion 50 ukabaki nyumba ya kupanga huku kuna njemba kwa mwezi anapata laki tatu na hivyo milion 3.6 kwa mwaka ana nyumba anaishi tena ya milion 20 kwa sababu mlipishana maamuzi ya kuanzaMkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwa
Nipo kwenye mada maana umeandika kejeli kwenye juhudi za wanasimba ndio maana nikaona nikukumbushe je dhihaka unayoifanya hapa kwako umejiangalia..?