Simba uwanja huu hapa

Simba uwanja huu hapa

Mkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwa

Nipo kwenye mada maana umeandika kejeli kwenye juhudi za wanasimba ndio maana nikaona nikukumbushe je dhihaka unayoifanya hapa kwako umejiangalia..?
Naam ,tuwape elimu watu , na tuliowahi kujenga tunajua kama hujaanza unaweza kumiliki hata milion 50 ukabaki nyumba ya kupanga huku kuna njemba kwa mwezi anapata laki tatu na hivyo milion 3.6 kwa mwaka ana nyumba anaishi tena ya milion 20 kwa sababu mlipishana maamuzi ya kuanza
 
S
Sio dhihaka kwani mudi hela aliyotoa tumedanganya?
Hakuna cha juhudi huo ni mpango wa majuha na mazuzu tu ni kupoteza muda.
Sasa mtu anatoa hela zake una mwita mpigaji umemsaidia kutoa au kutafuta 2b tena kasema kwa kuanza hiyo kuwapa hamasa wadau wengine. Ndipo nikakujibu huyo mnae mhusudu kawafanyia miundo mbinu ipo bora kule utopwinyo kwenu. Acha kubeza juhudi za watu
 
Ingia kwenye hesabu ya mapato usiruke viunzi ,
Wewe unahisi mtu anakuja tu anakupa bil 40 afu utarudisha bila kuona unazirudishaje!? Sisi ni wajasiriamali mikopo tunaijua huwezi kukopeswa mil 50 wakati hata dalili za kuingiza milion 10 kwa mwaka huna wala assets zako hazizidi hiyo milion 50 mara kadhaa labda benki ya vichaa

Kama pato la Simba halifikii 1 bil profit means kama atakopa bil 40 atarudisha pesa hiyo baada ya miaka si chini ya 60 sasa nani atafanya biashara ya hivyo ?

Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaelewa nini maana ya investment, unaelezwa namna ya kurudishwa bado unakataa

Wewe na mikopo yako umeingiaje hapo. Na gharama ya ujenzi ni billion 30 we 40 unatoa wapi?

Kumbuka entrance tu haitokua source ya income kwa uwanja kuna vitu tofauti na simba kucheza vitaingizia club mapato
 
Naam ,tuwape elimu watu , na tuliowahi kujenga tunajua kama hujaanza unaweza kumiliki hata milion 50 ukabaki nyumba ya kupanga huku kuna njemba kwa mwezi anapata laki tatu na hivyo milion 3.6 kwa mwaka ana nyumba anaishi tena ya milion 20 kwa sababu mlipishana maamuzi ya kuanza
Kabsa mkuu usemalo. Akili kubwa
 
S

Sasa mtu anatoa hela zake una mwita mpigaji umemsaidia kutoa au kutafuta 2b tena kasema kwa kuanza hiyo kuwapa hamasa wadau wengine. Ndipo nikakujibu huyo mnae mhusudu kawafanyia miundo mbinu ipo bora kule utopwinyo kwenu. Acha kubeza juhudi za watu
Ni ukweli lazima usemwe hata kama sijatoa hela sasa kwa akili ya kawaida bil 2 si hata kujenga viti vya uwanja haitoshi? .
Nchi nzima wanachama wa simba mpo wangapi na wenye uwezo kuchanga pia wangapi?

Harakati za kijuha.
 
2b katoa kama mchango. Haja sema kuwa yeye mwisho wake ni.huo. mbona unajipa tabu kumsemea mtu au. Acha chuki.
 
NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Tusipende kuishi kwa kukariri maisha. Kama ni jambo linaloweza kuleta tija sioni ubaya likifanyika. Kama kwingine hawajafanya basi Simba wanaweza kuonyesha njia. Tuwape muda. Na wakifanikiwa na wengine watakaoona vema wataiga. Lengo ni kuona soka la Bongo linapiga hatua. Ni aibu kwa timu kubwa kama Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyao.
 
NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Kwahiyo ni lazima jambo lolote lifanyike kwanza Ulaya ndio liwe ni halali pia kufanyika kwenye mabara mengine?
 
Ni ukweli lazima usemwe hata kama sijatoa hela sasa kwa akili ya kawaida bil 2 si hata kujenga viti vya uwanja haitoshi? .
Nchi nzima wanachama wa simba mpo wangapi na wenye uwezo kuchanga pia wangapi?

Harakati za kijuha.
Wabongo ni wajuzi wa kukatisha wenzao tamaa, badala ya kuwatia moyo kwenye jambo jema la kimaendeleo.
 
Naiona hii ikifail, yaani mikia mnakosa kampuni ya kuwajengea uwanja na wakatumia (naming rights) pamoja na makubaliano mengine.....hilo bakuli naona ni kukosa ubunifu kwa board......hata Yanga ndiyo kifuatacho, ila ni kukosa viongozi wenye visheni
 
Simba wangeingia contract ata na kampuni wakapewa mkopo au wakajengewa uwanja. Uwanja ukawa named kwa jina la kampuni kwa kipindi cha muda fulani.

Au waingie mkataba na kampuni mfano benki ikawapa mkopo au katika kila mauzo ya tiketi zao watachukua asilimia kadhaa kwa kipindi cha muda fulani.
Hatua zote hizo zitachukuliwa huo ni mwanzo tu
 
Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaelewa nini maana ya investment, unaelezwa namna ya kurudishwa bado unakataa

Wewe na mikopo yako umeingiaje hapo. Na gharama ya ujenzi ni billion 30 we 40 unatoa wapi?

Kumbuka entrance tu haitokua source ya income kwa uwanja kuna vitu tofauti na simba kucheza vitaingizia club mapato
Vyote hivyo vinawezekana kwa ujenzi wa pesa hizi hizi unazozibeza usihusudu mikopo ndugu ,pale unapoweza kufanya mwenyewe fanya kwa nini ukimbilie kukopa?

Tena Simba ikikamilisha uwanja huu kwa njia hii itakuja kuwa na pesa nyingi za kuiendesha vema kuliko sasa maana haitakuwa na madeni ila itakuwa na kipato maradufu so wacha tuchange wewe tazama tu hata macho yako kutukodolea ni sehemu ya motisha maana tutapigana hasa tukuprove wrong kumbe ndo ushibdi wenyewe
 
Naiona hii ikifail, yaani mikia mnakosa kampuni ya kuwajengea uwanja na wakatumia (naming rights) pamoja na makubaliano mengine.....hilo bakuli naona ni kukosa ubunifu kwa board......hata Yanga ndiyo kifuatacho, ila ni kukosa viongozi wenye visheni
Tutafutie itujengee kirahisi kama unavyozungumza
 
Back
Top Bottom