NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ahasante mkuu.Ndiyo
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Sasa kwa nini unaleta malalamiko ya zamani kwenye mechi ya leo?Nilipozungumza Kahata kuekwa Benchi means siku zote na sio game ya leo.
Qumamako maji maji utopolo fc wamekula kono la nyani.Mikia tupeni matokeo
Ndugu Yangu hayo ndio mastraika ya kitambo yalivyokuwa, yanaitwa Goal Poachers.Yenyewe unayasikia yakifunga tu......utasikia Inzaghiiiiiiiiiiiiii....hapo Pipo kashatupia kunyavu.Ungekuwa umeanza kuangalia soka kitambo usingeshangaa Uchezaji wake.Sasa kama huwajui mastraika wa Hivyo then analysis zako nyingine zote fake.Kaa kwa kutulia uje usherehekee Ubingwa mwisho ni Msimbazi.Kwa sasa tuliaUchezaji wa Mugalu bado sijauelewa hata kidogo.
Sioni kama anakaba, au anakokota mpira ajaribu hata kumpita kwa kumpiga chenga mchezaji mmoja wa timu pinzani, huku akichanja mbuga kuelekea golini.
Namwona anasubiria kupitishiwa pasi rahisi ili yeye afunge tu.
Namwona anacheza kwa tahadhari sana kuogopa majeruhi.
Kamwe havamii kambi achukue moira aondoke nao.
Katika Ligi hii nimevutiwa na wafungaji wawili haswa,
Prince Dube, wa Azam fc, na Steven Assey wa Namungo fc.
Na pia huyu mpya wa Yanga fc, Saido naye naona anacheza kama inavyompasa mshambuliaji kucheza. Na Keseke kidogo anakujakuja.
Kwa namna hii Yanga ubingwa wa mwaka huu ni wao. Wamefanya Scouting nzuri sana.
Sisi Simba sijui kama tutatoboa mwaka huu.
Acha kulinganisha Inzagi na vitu vya hovyo.Ndugu Yangu hayo ndio mastraika ya kitambo yalivyokuwa, yanaitwa Goal Poachers.Yenyewe unayasikia yakifunga tu......utasikia Inzaghiiiiiiiiiiiiii....hapo Pipo kashatupia kunyavu.Ungekuwa umeanza kuangalia soka kitambo usingeshangaa Uchezaji wake.Sasa kama huwajui mastraika wa Hivyo then analysis zako nyingine zote fake.Kaa kwa kutulia uje usherehekee Ubingwa mwisho ni Msimbazi.Kwa sasa tulia
Jamaa yako hajui maforward wa type ya Inzaghi sasa ulitaka nimtolee mfano wa Tengema wa Nondo Rangers??nimetoa mfano unaofahamika duniani
Inzaghi ?Jamaa yako hajui maforward wa type ya Inzaghi sasa ulitaka nimtolee mfano wa Tengema wa Nondo Rangers??nimetoa mfano unaofahamika duniani
Ni kama walivyofungwa Yanga na Okwi miaka ileeeee. pira biriani kama walilochezewa Yanga na Miqsonnee wakagongwa 4Mikia tupeni matokeo
Uchezaji wa Mugalu bado sijauelewa hata kidogo.
Sioni kama anakaba, au anakokota mpira ajaribu hata kumpita kwa kumpiga chenga mchezaji mmoja wa timu pinzani, huku akichanja mbuga kuelekea golini.
Namwona anasubiria kupitishiwa pasi rahisi ili yeye afunge tu.
Namwona anacheza kwa tahadhari sana kuogopa majeruhi.
Kamwe havamii kambi achukue moira aondoke nao.
Katika Ligi hii nimevutiwa na wafungaji wawili haswa,
Prince Dube, wa Azam fc, na Steven Assey wa Namungo fc.
Na pia huyu mpya wa Yanga fc, Saido naye naona anacheza kama inavyompasa mshambuliaji kucheza. Na Keseke kidogo anakujakuja.
Kwa namna hii Yanga ubingwa wa mwaka huu ni wao. Wamefanya Scouting nzuri sana.
Sisi Simba sijui kama tutatoboa mwaka huu.
Mi nina kadi kabisa tena ya tawi la Kariakoo "Vuvuzela"Wewe sio simba acha kujificha kwenye timu ya simba
Utopolo mnachekeshaUchezaji wa Mugalu bado sijauelewa hata kidogo.
Sioni kama anakaba, au anakokota mpira ajaribu hata kumpita kwa kumpiga chenga mchezaji mmoja wa timu pinzani, huku akichanja mbuga kuelekea golini.
Namwona anasubiria kupitishiwa pasi rahisi ili yeye afunge tu.
Namwona anacheza kwa tahadhari sana kuogopa majeruhi.
Kamwe havamii kambi achukue moira aondoke nao.
Katika Ligi hii nimevutiwa na wafungaji wawili haswa,
Prince Dube, wa Azam fc, na Steven Assey wa Namungo fc.
Na pia huyu mpya wa Yanga fc, Saido naye naona anacheza kama inavyompasa mshambuliaji kucheza. Na Keseke kidogo anakujakuja.
Kwa namna hii Yanga ubingwa wa mwaka huu ni wao. Wamefanya Scouting nzuri sana.
Sisi Simba sijui kama tutatoboa mwaka huu.
Katu mi sie Atopolo.Utopolo mnachekesha
Team leo imepangwa double strikers,HAPO LEO KISHINGO NIKO NAYE SAMBAMBA KABISA
Katu mi sie Atopolo.
Nimetoa maoni tu, mwaka huu Yanga wako vizuri kiasi cha kuweza kuchukua ubingwa wa ligi.
Hivi wewe ukiwa mpenzi wa timu flani huwezi kabisa kuisifia timu pinzani, kama inafanya vizuri ?
Huwezi kuwa mwanamichezo kama Ally Mayai ambaye huwa anaisifu Simba ikifanya vizuri hata kama yeye ni Yanga damu...!
Huo ndio uwanamichezo.
Inzaghi ?
Kwanini usitoe mfano wa foward anayetumia hii staili ya Mugalu ambaye anacheza sasa popote pale duniani?
Hadi umtaje babu ambaye wengi wanaotaka kujua hawamjui wala kumwona.
Na kama hawapo sasa inamaanisha hiyo aina ya uchezaji imepitwa na wakati.
Simba lazima iwe makini na usajiri wa wachezaji wa kimataifa.
Kwasasa John Boko ndio chaguo la kwanza la Sven. Na kwa hakika anawazidi washambuliaji wote wa Kimataifa.
Mshambuliaji wa Kimataifa anaishia benchi na kucheza Machi za Majimaji fc, kwa wachezaji wasio na namba ya kudumu ktk kikosi cha kwanza.
Hii ni kashfa kwa kamati ya Usajiri ya Simba Sports Club.
Mugalu sio aina ya washambuliaji wa kimataifa ambao Simba inawahitaji.
Ukweli ni lazima usemwe.