Simba Vs Majimaji

Simba Vs Majimaji

kishingo leo amewaka kinomanoma ,malalmiko yamemfikia katetea wachezaji kasema bora tumtukane yeye
 
Uchezaji wa Mugalu bado sijauelewa hata kidogo.
Sioni kama anakaba, au anakokota mpira ajaribu hata kumpita kwa kumpiga chenga mchezaji mmoja wa timu pinzani, huku akichanja mbuga kuelekea golini.
Namwona anasubiria kupitishiwa pasi rahisi ili yeye afunge tu.
Namwona anacheza kwa tahadhari sana kuogopa majeruhi.
Kamwe havamii kambi achukue moira aondoke nao.
Katika Ligi hii nimevutiwa na wafungaji wawili haswa,
Prince Dube, wa Azam fc, na Steven Assey wa Namungo fc.
Na pia huyu mpya wa Yanga fc, Saido naye naona anacheza kama inavyompasa mshambuliaji kucheza. Na Keseke kidogo anakujakuja.

Kwa namna hii Yanga ubingwa wa mwaka huu ni wao. Wamefanya Scouting nzuri sana.
Sisi Simba sijui kama tutatoboa mwaka huu.
 
Ndugu Yangu hayo ndio mastraika ya kitambo yalivyokuwa, yanaitwa Goal Poachers.Yenyewe unayasikia yakifunga tu......utasikia Inzaghiiiiiiiiiiiiii....hapo Pipo kashatupia kunyavu.Ungekuwa umeanza kuangalia soka kitambo usingeshangaa Uchezaji wake.Sasa kama huwajui mastraika wa Hivyo then analysis zako nyingine zote fake.Kaa kwa kutulia uje usherehekee Ubingwa mwisho ni Msimbazi.Kwa sasa tulia
 
Acha kulinganisha Inzagi na vitu vya hovyo.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yako hajui maforward wa type ya Inzaghi sasa ulitaka nimtolee mfano wa Tengema wa Nondo Rangers??nimetoa mfano unaofahamika duniani
Inzaghi ?
Kwanini usitoe mfano wa foward anayetumia hii staili ya Mugalu ambaye anacheza sasa popote pale duniani?
Hadi umtaje babu ambaye wengi wanaotaka kujua hawamjui wala kumwona.
Na kama hawapo sasa inamaanisha hiyo aina ya uchezaji imepitwa na wakati.
Simba lazima iwe makini na usajiri wa wachezaji wa kimataifa.
Kwasasa John Boko ndio chaguo la kwanza la Sven. Na kwa hakika anawazidi washambuliaji wote wa Kimataifa.
Mshambuliaji wa Kimataifa anaishia benchi na kucheza Machi za Majimaji fc, kwa wachezaji wasio na namba ya kudumu ktk kikosi cha kwanza.
Hii ni kashfa kwa kamati ya Usajiri ya Simba Sports Club.
Mugalu sio aina ya washambuliaji wa kimataifa ambao Simba inawahitaji.
Ukweli ni lazima usemwe.
 
Nimeaangalia mechi ya Maji Maji dhidi ya Simba jana kidogo timu ilichangamka mbele na ilikuwa inaenda kwa kasi kwa kiasi fulani kuelekea kwenye goli la adui na hasa pasi ndefu za Ndemla, Kahata na Bwallya kwa washambuliaji. Simba walicheza vizuri kiasi fulani na waliutawala mpira lakini hili lisiwapumbaze kwani timu waliyopambana nayo si ya kutisha sana. Mechi ya jana waitumie kama kipimo kuangalia wapi walikosea ili wafanye marekebisho sahihi kwenye mfumo na mbinu zao kabla ya kukutana na Platinum na baadae kwenye VPL.

Mapungufu makubwa niliyoyaona kwenye mechi ya jana ni pamoja na:
1. Washambuliaji walikuwa na papara sana. Wanapotakiwa kufunga wao wanatoa pasi wanapotakiwa kutoa pasi wao wanalazimisha wafunge. Iwapo washambuliaji wangetulia na kushirikiana kulikuwa na uwezekano wa kushinda zaidi yz goli nane. Wachezaji wajengwe kisaikolojia wajue sio lazima kila mchezaji afunge muhimu ni timu kushinda basi.
2. Timu bado ina tabia za kuridhika na matokeo na kudharau timu pinzani. Wakati mchezo unaaanza timu ilikuwa moto lakini baada ya kufunga goli mbili basi baadhi ya wachezaji wakaanza kutembea taratibu na mpira uwanjani na bench la ufundi linaangalia tu .
3. Timu haikabi kuanzia mbele ukimuacha Kagere peke yake aliyekuwa anakaba kuanzia mbele. Mara nyingi fowadi na viungo washambuliaji walipokuwa wanapoteza mipira walikuwa wanatembea badala ya kumfukuzia adui matokeo yake walikuwa wanawapa kazi sana mabeki. Hii ni hatari sana kwa Simba itakapokutana na timu ambayo inajua kutumia vyema "counter attack". Kimsingi benchi la ufundi liwafundishe wachezaji kuwa timu inatakiwa ishambulie pamoja na iakabe pamoja
4. Mabeki wa pembeni Gadiel na Kameta walishindwa kabisa kupiga krosi zenye macho kwa washambuliaji wa kati pamoja na kupata mipira mingi sana pembeni. Wasione aibu wajifunze ka Kapombe na Mohamed Hussein. Na mbaya zaidi kwa Gadiel mara nyingi anapopata mipira lazima aipooze halafu anageuka anarudisha pasi nyuma kwa hiyo anakuwa anachelewesha mashambulizi. Anazuia vizuri sana lakini anapaswa ajifunze namna ya kushambulia kutokea pembeni vinginevyo ataendele kujenga urafiki na benchi na mwisho wa siku safari itamkuta.

Mwisho nalilaumu benchi la ufundi kwa asilimia 50% kwa kuua viwango vya wachezaji. Ukiona wachezaji kama Gadiel, Kennedy Juma, Ajibu, Kahata, Miraji Athumani n.k. wanapata taabu kwenye mechi ya Majimaji vipi wakipangwa mechi ya Azam au Yanga? Na asilimia 50% nyingine nawalaumu wachezaji wenyewe kwa sababu walipaswa wafanya mazoezi ya ziada na wanapopewa nafasi kama mechi ya jana walitakiwa walionyeshe benchi la ufundi kuwa linakosea kwa kutowapa nafasi. Wajifunze kwa Kagere na Erasto Nyoni kwa mifano ya hivi karibuni.
 
Wewe sio simba acha kujificha kwenye timu ya simba
Uchezaji wa Mugalu bado sijauelewa hata kidogo.
Sioni kama anakaba, au anakokota mpira ajaribu hata kumpita kwa kumpiga chenga mchezaji mmoja wa timu pinzani, huku akichanja mbuga kuelekea golini.
Namwona anasubiria kupitishiwa pasi rahisi ili yeye afunge tu.
Namwona anacheza kwa tahadhari sana kuogopa majeruhi.
Kamwe havamii kambi achukue moira aondoke nao.
Katika Ligi hii nimevutiwa na wafungaji wawili haswa,
Prince Dube, wa Azam fc, na Steven Assey wa Namungo fc.
Na pia huyu mpya wa Yanga fc, Saido naye naona anacheza kama inavyompasa mshambuliaji kucheza. Na Keseke kidogo anakujakuja.

Kwa namna hii Yanga ubingwa wa mwaka huu ni wao. Wamefanya Scouting nzuri sana.
Sisi Simba sijui kama tutatoboa mwaka huu.
 
Wewe sio simba acha kujificha kwenye timu ya simba
Mi nina kadi kabisa tena ya tawi la Kariakoo "Vuvuzela"
Nimekwambia, unaweza kufananisha uchezaji wa Mugalu na mshambuliaji yoyote wa wakati wa sasa ?
Analeta mfano wa mchezaji wa Italia wa miaka ya 1980 huko.
Kuwa Mwanasimba hakuzuii kuuliza jambo lolote linaloonekana tofauti.
Au unataka Kuniambia, Mzee Kilomoni, na Mkwabi sio wanachama wa Simba ?
 
Uchezaji wa Mugalu bado sijauelewa hata kidogo.
Sioni kama anakaba, au anakokota mpira ajaribu hata kumpita kwa kumpiga chenga mchezaji mmoja wa timu pinzani, huku akichanja mbuga kuelekea golini.
Namwona anasubiria kupitishiwa pasi rahisi ili yeye afunge tu.
Namwona anacheza kwa tahadhari sana kuogopa majeruhi.
Kamwe havamii kambi achukue moira aondoke nao.
Katika Ligi hii nimevutiwa na wafungaji wawili haswa,
Prince Dube, wa Azam fc, na Steven Assey wa Namungo fc.
Na pia huyu mpya wa Yanga fc, Saido naye naona anacheza kama inavyompasa mshambuliaji kucheza. Na Keseke kidogo anakujakuja.

Kwa namna hii Yanga ubingwa wa mwaka huu ni wao. Wamefanya Scouting nzuri sana.
Sisi Simba sijui kama tutatoboa mwaka huu.
Utopolo mnachekesha
 
Utopolo mnachekesha
Katu mi sie Atopolo.
Nimetoa maoni tu, mwaka huu Yanga wako vizuri kiasi cha kuweza kuchukua ubingwa wa ligi.

Hivi wewe ukiwa mpenzi wa timu flani huwezi kabisa kuisifia timu pinzani, kama inafanya vizuri ?

Huwezi kuwa mwanamichezo kama Ally Mayai ambaye huwa anaisifu Simba ikifanya vizuri hata kama yeye ni Yanga damu...!

Huo ndio uwanamichezo.
 
Kwani wewe Ukiwa Utopolo ni dhambi??
 
Inzaghi ?
Kwanini usitoe mfano wa foward anayetumia hii staili ya Mugalu ambaye anacheza sasa popote pale duniani?
Hadi umtaje babu ambaye wengi wanaotaka kujua hawamjui wala kumwona.
Na kama hawapo sasa inamaanisha hiyo aina ya uchezaji imepitwa na wakati.
Simba lazima iwe makini na usajiri wa wachezaji wa kimataifa.
Kwasasa John Boko ndio chaguo la kwanza la Sven. Na kwa hakika anawazidi washambuliaji wote wa Kimataifa.
Mshambuliaji wa Kimataifa anaishia benchi na kucheza Machi za Majimaji fc, kwa wachezaji wasio na namba ya kudumu ktk kikosi cha kwanza.
Hii ni kashfa kwa kamati ya Usajiri ya Simba Sports Club.
Mugalu sio aina ya washambuliaji wa kimataifa ambao Simba inawahitaji.
Ukweli ni lazima usemwe.

Wewe ni Shabiki wa Simba?,Halafu hujui kuwa Mugalu alisajiliwa na kila ndani ya dk 15 alikuwa anafunga???Halafu hujui kuwa Mugalu akapata majeraha??Halafu hujui ndio ana struggle Kurudi kikosini?Kisha unajinadi wewe ni Simba na unamjua sana Mugalu??
 
Back
Top Bottom