Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Jan 7, 2021 #61 Mc Tilly Chizenga said: Wewe ni Shabiki wa Simba?,Halafu hujui kuwa Mugalu alisajiliwa na kila ndani ya dk 15 alikuwa anafunga???Halafu hujui kuwa Mugalu akapata majeraha??Halafu hujui ndio ana struggle Kurudi kikosini?Kisha unajinadi wewe ni Simba na unamjua sana Mugalu?? Click to expand... Umemuona Mugalu wako leo ? Kacheza dakika 65. Kagusa mpira mara tano tu. Hakabi, anatafuna Big G tu uwanjani. Hiyo ndo Mugalu. Simba 4 Platinum 0
Mc Tilly Chizenga said: Wewe ni Shabiki wa Simba?,Halafu hujui kuwa Mugalu alisajiliwa na kila ndani ya dk 15 alikuwa anafunga???Halafu hujui kuwa Mugalu akapata majeraha??Halafu hujui ndio ana struggle Kurudi kikosini?Kisha unajinadi wewe ni Simba na unamjua sana Mugalu?? Click to expand... Umemuona Mugalu wako leo ? Kacheza dakika 65. Kagusa mpira mara tano tu. Hakabi, anatafuna Big G tu uwanjani. Hiyo ndo Mugalu. Simba 4 Platinum 0
D devijoy JF-Expert Member Joined Oct 25, 2018 Posts 1,030 Reaction score 1,365 Jan 7, 2021 #62 Mugalu hawafai simba kwa michuano mikubwa Labda na kina Ihefu.. Wambakize chikwende dar itawasaidia kimataifa, Kahata aende tu Che mittoga said: Umemuona Mugalu wako leo ? Kacheza dakika 65. Kagusa mpira mara tano tu. Hakabi, anatafuna Big G tu uwanjani. Hiyo ndo Mugalu. Simba 4 Platinum 0 Click to expand...
Mugalu hawafai simba kwa michuano mikubwa Labda na kina Ihefu.. Wambakize chikwende dar itawasaidia kimataifa, Kahata aende tu Che mittoga said: Umemuona Mugalu wako leo ? Kacheza dakika 65. Kagusa mpira mara tano tu. Hakabi, anatafuna Big G tu uwanjani. Hiyo ndo Mugalu. Simba 4 Platinum 0 Click to expand...