Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
kwani ile nguvu yao ya mwaka jana imepotelea wapi...Hawa mbeya city sijui wanachezaje!!! yaani utafikir wanacheza daraja la kwanza. itashuka daraja tu mwaka huu.
simba apakatwe leo!!! na wote tuseme AMINA!!!
kuna watu wanatamani muda uishe sasa hivi...Ibrahim Ajib anaipatia Simba goli la kuongoza...
Mimi leo nina maoni tofauti: Simba 0-1 Mbeya City.
Hawa mbeya city sijui wanachezaje!!! yaani utafikir wanacheza daraja la kwanza. itashuka daraja tu mwaka huu.
Mimi leo nina maoni tofauti: Simba 0-1 Mbeya City.
Mkude kapiga mtu kipepsi, mikia mnasemaje?
kafanyaje kwani!!!!!Huyu kipa wa mbeya city hovyo kabisa, mbeya city kwa uchezaji huu mtashuka daraja tu mwaka huu.Haya mambo yakutaka wachezaji wote wawe wa kutoka mbeya yatawacost tu.
kwani ile nguvu yao ya mwaka jana imepotelea wapi...
Tupeni raha Mbeya Cityyyyyyyyyyyyyyy ndaga fijo
Maoni tofauti????
Huyu kipa hata game ya azam aliicost sana timu yake na leo tena karuhusu goli ya kizembe zembe. Huyu hastahili kuchezea mbeya city.kafanyaje kwani!!!!!