Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Hakika hii si timu ya kuchezea ligi ya vodacom, inacheza hovyo kabisa. Simba wakicheza vizuri wanaweza kupata ushindi mnono tangu ligi ianze.
na kocha wao ni yule yule ana aligoma kuendelea kuifundisha timu!!
 
Huyu kipa hata game ya azam aliicost sana timu yake na leo tena karuhusu goli ya kizembe zembe. Huyu hastahili kuchezea mbeya city.

Mkuu mbona hua unalalamika sana simba akimchapa mtu?

Una roho ya Gubu nini>?

Uwe sportsman kama bwana makoye matale bana
 
barafuyamoto acha hizo bwana, mbona unakuwa mkorofi hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona hua unalalamika sana simba akimchapa mtu?

Una roho ya Gubu nini>?

Uwe sportsman kama bwana makoye matale bana

Simba akichapa mtu huwa siyo habari njema kwetu hata kidogo, huwa tunajikuta tunazongwa, tunazomewa na hawa mashabiki wa mikia ndiyo maana hatupendi kabisa kuona mnyama akichapa mtu.

Rekodi ya Simba itatubeba tu kwani wataruhusu bao hilo kuchomolewa na kuongezwa la pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…