Simba VS Ndanda: Updates

Hawa Ndanda wapuuzi sana,ngoja nilale zangu.
Ndio maana naipenda na kuiaminia Yanga pekee kisoka nchi hii. [emoji57]
Msalimie baba yako nasikia ni Simba wa kutupwa. Umeisha igeuka Ndanda???
 
Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Wacha majungu jamaa hao ndio Mzamilu Yasin na Mohamed Hussein?
 
Endeleeni kuzuga kwenye nafasi ya mwanaume wa shoka mwenyewe akirudi mumpishe bila kelele
 
Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Kama jamaa wa Quality center alivyohusika jana?!
 
Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Mkuu unajua kuwa Ndanda sasa haipo chini ya huyo unamsema ana kiwanda cha maji...?
 
Pesa sipo usilase damu. Usiwe kiasaka. Au hujafuka Kikafu?
 
Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Nimeshangaa sana kipindi cha pili nini kimewasibu Ndanda. Ila kimsingi Simba strikers bado sana.
 
Nimeshangaa sana kipindi cha pili nini kimewasibu Ndanda. Ila kimsingi Simba strikers bado sana.
Bado mtakuwa makocha,watabiri na wataalamu wa kusema. Nyie wenye strikers wa maana mlifunga ngapi huko Mtwara?
Bando la masaa 24 limekwisha.
 
Kipa yupo vizuri,Yanga wasimroge na uchawi wa Kihindi

Kweli tupo mbali sana na mpira. Dah! Uchawi wa wapi vile. Sasa si ndo hao banyani wangekuwa mabingwa wa ulimwengu? Mnaacha kujifunza mpira mnategemea Mlingotini Bagamoyo tu. Ndo maana hatupigi hatua. Nawaombea ushindi hao chipukizi. Wakongwe waondolewe wapishe dam changa
 
Wana kuchele wameuza lile game na hasa kipindi cha 2 live kabisa!
 
Mpira wa Bongo ni uwendawazimu. Yaani wachezaji wa Ndanda wanawapasia simba ili wawafunge. Kweli MO kadhamiria kuharibu Mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…