Msalimie baba yako nasikia ni Simba wa kutupwa. Umeisha igeuka Ndanda???Hawa Ndanda wapuuzi sana,ngoja nilale zangu.
Ndio maana naipenda na kuiaminia Yanga pekee kisoka nchi hii. [emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie baba yako nasikia ni Simba wa kutupwa. Umeisha igeuka Ndanda???Hawa Ndanda wapuuzi sana,ngoja nilale zangu.
Ndio maana naipenda na kuiaminia Yanga pekee kisoka nchi hii. [emoji57]
Na kweli ni 1-1.Dakika 90 matokeo yatasomeka hivi 1-1
eeee baba anakula hadi kandambiliView attachment 447804
Nani ana kiburi ??
Wacha majungu jamaa hao ndio Mzamilu Yasin na Mohamed Hussein?Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Kapike mbege wewe.Endeleeni kuzuga kwenye nafasi ya mwanaume wa shoka mwenyewe akirudi mumpishe bila kelele
Kama jamaa wa Quality center alivyohusika jana?!Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Mkuu unajua kuwa Ndanda sasa haipo chini ya huyo unamsema ana kiwanda cha maji...?Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Kiruuuuu atanunua nani sasa na pesa hakuna babanguu?Kapike mbege wewe.
Nimeshangaa sana kipindi cha pili nini kimewasibu Ndanda. Ila kimsingi Simba strikers bado sana.Kuna jamaa anakiwanda cha kutengeneza maji na kiongozi mmoja wa chama cha mpira Ntwara wanahusika sana kwa ushindi wa Leo pongezi zao ndio mpira wetu huo
Kumbe hao wamakonde wanauwanja mzuri hivyo
Bado mtakuwa makocha,watabiri na wataalamu wa kusema. Nyie wenye strikers wa maana mlifunga ngapi huko Mtwara?Nimeshangaa sana kipindi cha pili nini kimewasibu Ndanda. Ila kimsingi Simba strikers bado sana.
Kipa yupo vizuri,Yanga wasimroge na uchawi wa Kihindi
Kununua mmezoea nyie. Bando la masaa 24 limekwisha.Wana kuchele wameuza lile game na hasa kipindi cha 2 live kabisa!