Simba vs Planteau: Napendekeza iwe sharti kuwa hakuna kuingia bila jezi za Simba

Serious mkuu kuna tofauti wanayofanya Simba na Yanga?! Mbona wote ndo walewale..
Utd na City ni mahasimu wa mji mmoja. Je hivi ushaona Man Utd anacheza na Chelsea halafu shabiki wa Man City kavaa Jezi za Chelsea uwanjani?
 
Au mfanye kwamba kama mtu hana kadi ya uanachama ya timu asipate tiketi
 
Ujinga huu
 
Kuna asilimia za timu ya ugenini kuingiza mashabiki wake...hizo asilimia ndio tutaingia sisi mashabiki wa plateau
 
Mkuu unajua wale wanaijeria pia wana nafasi zao za mashabiki? Sasa itakuwaje na wao wavae nyekundu?
 
Keshokutwa nitaingia uwanjani kwa Mkapa na Mkasi maalum kwa ajili ya kuzichana jezi zote za Njano na kijani.
Kwenye game za mtani tumeshuhudia wanachokifanya kwa mashabiki wanaovaa jezi nyekundu, sisi tunalipa ubaya kwa ubaya.

Pia figisu walizofanya Plateu kwao nasi tutafanya mara kumi Japo mechi itaonyeshwa kama kawa.
 
Plateau nao ilitakiwa mashabiki zao wasingie kama walivyo tufanyia figisu kule kwao, mpira wa Africa ni fitina tu
 
Simba timu yangu ila katika ili wameniangusha sana na lile la kaduguda mpra wa tz sio wa kutaja kias alichopewa mchezaj au kununuliwa timu zetu iz majungu meng wachezaj kwa kwa wachezaj ,na ilo la kuwazuia watu wasije katika mechi yenu pia ni ujinga njia ya kukataa kuzomewa ni kufanya vizur
 
Mo amekanusha kuna kodi za serikali ila jamaa alifikiri kuongea vile ni sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…